Ujue Mti chonganishi

Una madhara km ya mti chonganish?please tupe madhara kbl ya kuung'oa kwn nimependa mingi ya kivuli hadi nackia vibaya kuing'oa
Pia nimepanda ndo nategeme kuanza kupata kivuli ndo naona hii post mkuu
 
Hapa naanza kumuelewa mzee mmoja alipata kuiniambia haya:
1. Mti usioishi ndege
2. Mti usiotoa matunda yoyote
Hii miti sio ya kuiweka nyumbani

Bora uoteshe mti wa pilipili
 
Duh! Hata Mzee wangu nae amepanda mbele ya nyumba miwili, na nyuma miwili! Kila nikitaka kuikata ugomvi nakutishiwa kuhama Nyumbani, as am talking now amefariki ana miezi miwili, hii miti siipendi tokea muda ila ckuwa najua ina mambo za ajabu hivyo
Mwagia mafuta ya taaa itakauka taratibu bila mtu kujua na utakata km kuni
Poleni sana
 
Kamwagie mafuta ya taa unyauke bila kukwaza watu wasiojua sababu
Makavu live
 
Una madhara km ya mti chonganish?please tupe madhara kbl ya kuung'oa kwn nimependa mingi ya kivuli hadi nackia vibaya kuing'oa
Mwagia mafuta ya taa kwenye shina utanyauka bila ya wewe kujua na hatimae utapunguza maumivu
 
Machoni inapendeza sana kivuli kizuri, lakin ni hatari, kijijini kwetu ilitokea na wote waliamua kuikata,
 
Hii habari ya mti niliambiwa kama miaka mitano iliyopita ya kwamba kama umeupanda kwenye kiwanja cha nyumba mifakano ya kifamilia haitaisha. Kwangu niiipanda na majirani zangu wawili waliipanda pia, kusema ukweli mifarakano kwenye familia yangu ilikuwa haiishi na majirani zangu wawili familia zao zilifarakana kabisa na wanaume wakawa wamekimbia familia lakini baada ya kupata taarifa kwa watu kuwa miti hii siyo mizuri niliikata mara moja na majirani zangu pia waliikata. Tangu tuikate hakuna tena mifarakano na majirani zangu nao waume zao walisharudi kwenye familia zao na wanaishi kwa amani. Jaribuni na nyinyi kuchunguza hii kitu mtupe mrejesho.
 
Aisee hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…