Ujue Mti chonganishi


Mkuu; Mti huo unajulikana kisayansi (Botanical name) kama Terminalia catapa .Ipo ya kiasili na hiyo ya kupandwa - Lakini yote ni jamii moja. Huku kwetu tunaiitaga Orbukoy.
Ni mmoja kati ya miti inayovumilia mazingira magumu e.g. ukosefu wa maji au ukame na mizizi yake huenda/husambaa mbali sana kwa lengo la kupata maji. Kwa mfano ukiweza kupima urefu wa tawi lake lililo refu kuliko yote lililo sambamba na uso wa ardhi (Horizontal) kutoka kwenye shina la mti huo basi ujue mizizi yake imeshapita zaidi ya urefu huo. Ukweli huo ndo unaoufanya mti huo kuwa sio mti-rafiki kupandwa karibu na nyumba kwani kwa uhakika utakapoona tawi au matawi yake yamegusa nyumba ujue mizizi yake ishapita chini ya nyumba yako na anza kuangalia nyufa juu ya uso wa ardhi au katika ukuta wa nyumba yako. Usipochukua hatua ya kuchimba handaki au mtaro (Trench) kuufatilia na kuukata huo mzizi au hiyo mizizi ni 100% nyumba yako itabomoka.Inashauriwa kuupanda meta 10-15 kutoka kwenye nyumba ili kuepuka madhara yake au panda miti ya aina nyingine -huo achana nao.Kama ni kivuli basi ww ukifuate huko kiliko yaani m 10 - 15.
 
Binadamu Tunakufa kwa ahadi.....risasi 38 mtu yupo hai.....risasi moja mtu anakufa.....Zingatia ilo.
Ehe; Lakini uchukuepo na katahadhari usijiachie fwaaaa kwa madai eti UTAKUFA KWA AHADI. Nyumba yako itakapoanza kudhurika utaingia gharama za UKARABATI (linganisha na MATIBABU) mwenzio risasi 38 lakini anapata ahueni ya kuchangiwa. WW je?
 
hata mm nasikia kuwa Mti huu ukiupanda lazima baba ww familiya afe. sins uhakika kwa Dada IPO kama 10 hivi mazingira yanapendeza sana. na hakuna lolote baya lililotokea. nitafatilia.

ingawa kuna familiya hii miti IPO na.mwenye nyumba alikufa sasa sina uhakika kama ni huu mti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…