Ujio wangu upokeeni

Ujio wangu upokeeni

Mh! chit-chat unatumia chigala gani?chipoti au echiemu? alafu utakua chichiemu wewe!kwani ndio chama cha ntwara kwa BW.M
 
karibu jisikie upo arumeru mashariki kama wewe ni chadema au jiskie upo mtela kama wewe ccm.
 
Ninajisakia nipo mbinguni kwa ushindi wetu.

Shabby umedhamiria...naona hutaki masihara...huwa nasikia ngoma ya watoto HAIKESHI...ila naona ni maneno mbofumbofu...tehe!..habari yako bana!..
 
Shabby umedhamiria...naona hutaki masihara...huwa nasikia ngoma ya watoto HAIKESHI...ila naona ni maneno mbofumbofu...tehe!..habari yako bana!..


hii ni ya watu wazima kamanda.tehe... Habari nzuri mkuu wewe vipi?
 
Salam wanajamii

wapi wale vidume wenzangu?
wapi wale warembo wetu?
Wapi wale waungwana?
Wapi wale makaidi?
Kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu pokeeni.

Naahidu ushiriki,
kamwe sitawashiti,
meli nanga imetiki,
JF jahazi kushiriki,
kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu upokeeni.
Sheby,karibu sana,jisikie uko ku bedroom.
 
hii ni ya watu wazima kamanda.tehe... Habari nzuri mkuu wewe vipi?

aah mm nipo...kama nilivyokujuza awali ulinzi ni jukumu langu...vijana wamelala mm nakula patrol...kuna marupurupu lakini!...lol
 
aah mm nipo...kama nilivyokujuza awali ulinzi ni jukumu langu...vijana wamelala mm nakula patrol...kuna marupurupu lakini!...lol



nimekuona kamanda wewe kweli mlinzi wa hapa.
 
Back
Top Bottom