BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Shukrani kamanda. Unahitaji ulinzi shirikishi?
muhimu...tupia cv yako...usijekuta hata skauti hujapitia!...lol
Shukrani kamanda. Unahitaji ulinzi shirikishi?
nieleweshen basi wapi kibarazani?
hata wewe unaweza nijibu. Hunikaribishi?
Asante kamanda. huku ndio chumbani? Wapi ningepiga?
Kongosho jibu hapa, unaulizwa.. interested?
karibu...usishangae mm ndio mlinzi wao...sina zamu maalum...utanikuta mchana usiku wa manane...alfajiri...umeingia na shairi tamu!..
Jf patamu sana! Yaani hupati shida kumaizi huyu real mgeni na mgeni magumashi !
Kama akina sie Bunju akili kichwani post mbili tu za mgeni zatosha, nimekumbuka nikanywe maziwa mgando kwanza, nitarudi .
huwa sibemendi, marfuku!
Ni mwiko kama mbwa kupanda darini!
Afu we si unamjua hendisam wangu lakini?
ilikuwaje ukamruhusu wakati ujalipitia hilo sharia bagah vipi bwana au unastress kama ankoli Rejao..
Hendisam wako si kashaibiwa siku hizi kabanwa na jimama jipya mpaka jeiefu haingii tena.. Au umempata mpya?
kamanda baki na fani ya kutesa mkeo na watoto.
Utabiri waachie warrithi wa sheikh yahaya
nipo nipo tu.