kule israeli wala hawana mpango na hizi vitu wao wamefanya kama sehem ya kupigia pesa huu ulokole wa wakina gwajima na lusekelo hata hawana time nao wao wana dini yao ya kuvaa kile kikofiaHuwa najiuliza kilitokea nini hadi watu wakapokwa historia yao.
Wakauziwa huu utapeli unaoitwa dini pamoja na Miungu yake kwa gharama kubwa hata ya maisha yao.
Sasa hivi watu wengi hasa wa nchi masikini ndio wamebaki kuabudu huu utapeli.Hata public figures wasioamini kwenye hayo mambo huwa wanaigiza kuamini ili waonekane wapo pamoja na wafia dini mradi wapate wanachokitaka kutoka kwao.
Yesu hakuwa na uungu kwa namna yoyote ile, alikuwa mtu wa kawaida na alishajifia zamani na kuozea kaburini[possibly aliuawa kwa makosa ya uhaini].
Wanaomsubiri sijui wanasubiri atoke wapi.
Kabla ya kifo chake Yesu alisema angerudi kabla ya kufa kwa watu waliokuwa wakimsikiliza.Cha kushangaza leo ni miaka 2017 hajaonekana popote.Kama kuna mtu anayemsubiri Yesu arudi au anayesubiri siku ya kiama ifike, huyo ni wa kumtibu.
Mtu kuwa na imani sio ndiyo chanzo cha maendeleo ila pia kutokuwa na dini sioni ni vp inaweza kuwa ni chanzo cha maendeleo iwe kwa mtu mmoja mmoja au jamii nzima.Yes..walio na maendeleo wengi hawaamini katika dini kama moja ya chombo au nyenzo ya kuwafanya waendelee..dini yaweza kuwa kofia tu kwa wachache wao.
Wengine hata dini yao wenyewe walishaachana nayo.Wayahudi wengi hawajihusishi na dini wala kuamini uwepo wa Mungu.Hawa wamatumbi walioletewa dini juzi ndio wansojitia ujuaji kuliko waliozianzisha.Alafu
kule israeli wala hawana mpango na hizi vitu wao wamefanya kama sehem ya kupigia pesa huu ulokole wa wakina gwajima na lusekelo hata hawana time nao wao wana dini yao ya kuvaa kile kikofia
Hivi dunian INA walokole wangapi?We jifariji hata nafsi yako inakushuhudia kwamba Kristo atarudi ndio maana ukaandika,heri uokoke mapema maana atakaye kosa mwaliko ule itakuwa kilio na kusaga meno
Lengo la Dini za wazungu ni kumbembeleza Mungu aondoe kifo, bqhati mbaya sana Mungu hajawahi kuwaelewa ndo maana kifo kipo palepaleLini sasa!! Hivi wazungu wasingeleta hizi dini wangeliweza kututawala kirahisi!! si wangeua watu wengi sana. Walileta dini ili kutu subject tuwe chini yao wanyenyekevu.
Mtu kuwa na imani sio ndiyo chanzo cha maendeleo ila pia kutokuwa na dini sioni ni vp inaweza kuwa ni chanzo cha maendeleo iwe kwa mtu mmoja mmoja au jamii nzima.
Labda kama unaweza kuchambua kwa kina ni vp unaweza kufanikiwa kisa huamini dini.
Biblia inayotumiwa na wenye kuamini UTATU MTAKATIFU,,YESU NI MWANA WA MUNGU mwenye uungu(nae ni MUNGU) NA PIA YESU ndio njia ya kweli ya kuingia mbinguni kwa kumuamini..Moja wapo ni King James Version.Au noble bible.Pia Union Version.Hizi ni biblia zisizo na shaka kabisa.Bibilia ipi unayoiongea wewe ??? Queen james version, King james version, New King james version , NIV, RSV, Douay ..........
Waafrika walikuwa na imani kweli lakini zilikuwa Imani potofu,,kuabudu miti na milima na mizimu vitu vilivyowafanya wakawa maziro brain,,,mfano waangalie wamasai na wahadzabe wa huko porini (wasio na elimu) hawavai nguo,,wanakeketa watoto wa kike,,wanatoboa masikio yanakuwa marefu na mabaya na wanatoa watoto sadaka kukiwa na majanga..Huo ujinga wote ni instructions za hivyo vimizimu vya kipuuzi wanavyoviamini.hujui kitu wewe,waafrika walikuwa na imani(soma the book of the coming forth,wazungu wanakiita book of the dead) uone hao wazungu walivyocopy and paste hicho kitabu(hayo maandiko yalikuwepo zaidi ya miaka 5000 kabla ya biblia feki)...kama unahitaji nikupe contradiction kumi za kwenye biblia...wazungu hawakuwa smart walipokuwa wanacopy ile papyrus.,achana na ujinga wa kuamini uzushi wa wazungu blackman
Sijawahi kumwona Aisee.Wewe uliwai kumwona huyo Yesu
vichaa ni wale wasioviamini vitabu vitakatifu na historia za mitume ambazo ni ushahidi mmojawapo wa uwepo wa Mungu alie mkuuKichaa ni mtu anayesema kuna Mungu bila kuwa na ushahidi.
kuna kitu hukielewi,hayo yalikuwa mambo ya makabila na sio mambo ya mungu,elimu kwako wewe unaitafsiri vipi?kuwa na degree au diploma ya uhasibu?katika kitabu cha going back and forth day and night(book of the dead) ndio msingi wa dini ya watu weusi waafrika,hakuna sehemu zinatajwa hizo imani za kafara....na biblia yako ndio inayotoa kafara,kasome stori ya abraham kumchinja mwanae isaka eti kutoa sadaka kwa yehova..get your facts right!Waafrika walikuwa na imani kweli lakini zilikuwa Imani potofu,,kuabudu miti na milima na mizimu vitu vilivyowafanya wakawa maziro brain,,,mfano waangalie wamasai na wahadzabe wa huko porini (wasio na elimu) hawavai nguo,,wanakeketa watoto wa kike,,wanatoboa masikio yanakuwa marefu na mabaya na wanatoa watoto sadaka kukiwa na majanga..Huo ujinga wote ni instructions za hivyo vimizimu vya kipuuzi wanavyoviamini.
Mkuu labda nikuulize,,watu wasiojua kusoma wala kuandika waliwezaje kumiliki,,kutumia au kuandika kitabu..hicho kitabu kimeandikwa na waafrika wa ukanda upi?? Watu waliokuwa na non formal education wangewezaje kutumia vitabu?? Kukeketa ni ritual kwa hio miungu yao ndo maana makabila mengi walipractise,,,wamasai walitoa kafara watoto oldoinyo lengai,,wachaga Kwenye mito na vyanzo vya maji the same applied to ushirikina wote uliofanywa na makabila yote ya watu weusi..Miungu ya kusadikika na ya kishirikina imechangia sana tuwe backward countr Africa nzima unavyoiona.Unapomuongelea lbrahimu kumtoa Isaac ni kueleza nusunusu pasi na kueleza uhalisia wa tukio zima.Lakini Waafrika kurudia imani zilizokufa na za wafu ni kama kulirudia tope ambalo limebeba aibu ilioachwa na babu zetu.kuna kitu hukielewi,hayo yalikuwa mambo ya makabila na sio mambo ya mungu,elimu kwako wewe unaitafsiri vipi?kuwa na degree au diploma ya uhasibu?katika kitabu cha going back and forth day and night(book of the dead) ndio msingi wa dini ya watu weusi waafrika,hakuna sehemu zinatajwa hizo imani za kafara....na biblia yako ndio inayotoa kafara,kasome stori ya abraham kumchinja mwanae isaka eti kutoa sadaka kwa yehova..get your facts right!
mkuu unahitaji elimu,nani kakwambia afrika walikuwa hawajui kusoma!!!!!!!!watu weusi walijua kusoma zaidi ya miaka elfu tano kabla mzungu hajatoka mapangoni,jaribu kutafuta kitabu nilichokwambia ujue historia yako.Mkuu labda nikuulize,,watu wasiojua kusoma wala kuandika waliwezaje kumiliki,,kutumia au kuandika kitabu..hicho kitabu kimeandikwa na waafrika wa ukanda upi?? Watu waliokuwa na non formal education wangewezaje kutumia vitabu?? Kukeketa ni ritual kwa hio miungu yao ndo maana makabila mengi walipractise,,,wamasai walitoa kafara watoto oldoinyo lengai,,wachaga Kwenye mito na vyanzo vya maji the same applied to ushirikina wote uliofanywa na makabila yote ya watu weusi..Miungu ya kusadikika na ya kishirikina imechangia sana tuwe backward countr Africa nzima unavyoiona.Unapomuongelea lbrahimu kumtoa Isaac ni kueleza nusunusu pasi na kueleza uhalisia wa tukio zima.Lakini Waafrika kurudia imani zilizokufa na za wafu ni kama kulirudia tope ambalo limebeba aibu ilioachwa na babu zetu.
Mtume yupi? Au unamaanisha yule aliyetomba kasichana ka miaka Tisa?vichaa ni wale wasioviamini vitabu vitakatifu na historia za mitume ambazo ni ushahidi mmojawapo wa uwepo wa Mungu alie mkuu
matusi ya nini mkuu hujafundishwa tafsida shuleni?Mungu akusamahe na akuonyeshe haki.Mtume yupi? Au unamaanisha yule aliyetomba kasichana ka miaka Tisa?
Na vitabu unavyozungumzia ni vile vinavyosema Adam alikuwa na urefu wa futi 90? Vitabu vinavyosema usiku jua hufichwa kwenye matope?
Kuamini mambo kama hayo yaliyoandikwa kwenye vitabu inakubidi uwe kichaa haswa.
Mimi ninavyojua kabla hajaja mkoloni Wamisri na baadhi ya Waethiopia ndo watu waliokuwa na elimu.Na south Africa baada ya boer trek ila waafrika wengine hakukuwa na kitu kinachoitwa elimu.Babu zetu walikuwa na jando na unyago tu.mkuu unahitaji elimu,nani kakwambia afrika walikuwa hawajui kusoma!!!!!!!!watu weusi walijua kusoma zaidi ya miaka elfu tano kabla mzungu hajatoka mapangoni,jaribu kutafuta kitabu nilichokwambia ujue historia yako.
tatizo waafrika ni wavivu,stori mlizolishwa na wazungu kujumlisha na biblia mnakuwa na akili mgando....elimu elimu elimu
wakushi na wamisri wametokea east africa...Mimi ninavyojua kabla hajaja mkoloni Wamisri na baadhi ya Waethiopia ndo watu waliokuwa na elimu.Na south Africa baada ya boer trek ila waafrika wengine hakukuwa na kitu kinachoitwa elimu.Babu zetu walikuwa na jando na unyago tu.