Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,514
Mkuu sasa hizi zinapatikana hapa bongo mfano hii yenye picha?
maana nimeona kweli tunaibiwa maana vi RAM vya ki.se.nge
Mkuu chief-mkwawa kuna cmu nimeiona Star N9599 ina range $199-$229 + free shiping.Je hii cmu inaweza patikana bongo?
Mchina aniniboa kwenye RAM tu chief-mkwawa Hivi hizi S4 Clone za ukweli zina RAM kiasi gani?
mkuu mchina wa ram 256mb anauzwa laki naa hata ingekua laki kamili still ni ghali.
tablet ya inch 7 ya kichina double line na battery 3 (2 ni hot swapable zinatoka) inauzwa dola 45, processor dualcore na ram 512. convert mwenyewe nambie kama huibiwi.
ona daxian wana quadcore dola 99 (around laki na stini)
simu ina ram 1gb, processor quadcore arm 7, camera ya nyuma 8 megapixel na ya mbele 2mp ina gpu ya sgx544 na kioo cha 4.7. sasa nambie mwenyewe specs hizo na za tecno nani anaibiwa
yani hata ukitaka nilist simu 10 za kichina nalist na zote zitakua quad/dual core za chini ya laki 2.
yote 9, 10 nambie kiwanda cha tecno kiko wapi? nipe hata reference ya wikipedia
Mkuu chief-mkwawa kuna cmu nimeiona Star N9599 ina range $199-$229 + free shiping.Je hii cmu inaweza patikana bongo?
Mkuu Hv Ikitoke Nmenunua Bidhaaa Kama Hii Af Ikiwa Na Lugha Ya Kichina Kuna Uwezekano Kuweka Custom Ya English?? Maana Nahs Kama Makampuni Ya China Kama Haya Kupata Custom Ya English Itakua Kazi Hv!!
Mfano mzuri mkuu ni huawei y300, nlikuwa naifanyia test nikilinganisha na samsung galaxy S, na ilikuwa better, kuna huawei g700 au g610s zenye bei ya almost 400000 kwa 350000 na ni better kuliko tecno, pia kuna faea f1 yenye nfc
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.
Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.
Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.
Tatizo la y300 chaji kwa siku unachaji Mara 3 kwa matumizi ya kawaida tu
estimated price 300,000 hadi 350,000 pakuipata sipajui bongo
mimi sijawahi kushawishika na tecno hata kidogo
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.
Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.
Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.
Kwani ndio inauzwa bei gani hiyo L3
Mkuu chif mkwawa heri yamwaka mimi nilikuwa naomba msaada kwako jinsi ya kujirejest na huduma ya Samsung application maana kila nikiingiza email yangu inaniambia incorrect Pasword na wakati password ninayotumia kwenye email ni ileile naomba msaada mkuu
Mkuu kati ya matatizo uliyoyataja yanaweza yasi-mate kwetu ss wabongo
Mm kwa upande wa hardware naweza comment iko fair maana ka p3 kangu nakachajiaga kwenye pc na huwa najisahau inadodonka lkn bado kanatwanga mzigo.
kuhusu customer support mm naimani itakuwa ya kutosha hasa kwa sababu kuna preinstalled app kwenye p3 inaitwa callcare...hii ina namba za watu wa kutoa msaada kila nchi zinapouzwa
kwa upande wa charge hii p3 nahisi ilibidi iitwe preview maana ni majanga
Tecno balaa sasa hv. Ninayo n3,phantom A+, ninayoTablet yao. Best quality.
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.
Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.
Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE