Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..
mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.
kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.
sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.
amkeni amkeni amkeni wabongo
Kwani ndio inauzwa bei gani hiyo L3Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE
Mkuu chief-mkwawa cmu za ZTE na Lenovo unazichukuliaje na zpo Tanzania?
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE
bei gani mkubwa
zte zipo mkuu za kumwaga tu, ila lenovo sjaziona.
lenovo wana simu kali sana sasa hv na kwa china ndo no 1. sasa hv wanauza simu nyingi kuliko hata computer
mfano simu kama a800 4.5 inch screen, 1.2 dualcore processor na ram 512 inapatikana as cheap as 260,000
na ile ya intel k800 sasa hv pia imeshuka sana chini ya laki 4 wakati juz juz tu ilikua ni flagship.
nafkiri wanaoenda kufungasha china inabidi waziangalie hizi simu
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..
mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.
kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.
sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.
amkeni amkeni amkeni wabongo
zte zipo mkuu za kumwaga tu, ila lenovo sjaziona.
lenovo wana simu kali sana sasa hv na kwa china ndo no 1. sasa hv wanauza simu nyingi kuliko hata computer
mfano simu kama a800 4.5 inch screen, 1.2 dualcore processor na ram 512 inapatikana as cheap as 260,000
na ile ya intel k800 sasa hv pia imeshuka sana chini ya laki 4 wakati juz juz tu ilikua ni flagship.
nafkiri wanaoenda kufungasha china inabidi waziangalie hizi simu
nashukuru mkuu, unafeeling kama zangu kuhusu hasa hizo simu za kichina eti kisa android os, na nyingi za simu hizi zimekuwa zinabebwa na android osmkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..
mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.
kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.
sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.
amkeni amkeni amkeni wabongo
Mkuu lenovo a800 imeshashuka zaidi international price saa ivi inachezea kwenye 180000, ila juzi kuna mtu nlimuona anauza facebook 500000 ilibidi nimshushie majungu ya kutosha
Nadhan Chief unaweza ukanisaidia, Naitafuta sana LENOVO A830, Em nijuze ntaipata wap na ni kwa Tsh ngap..
Sijui kama hii sim ina utata wowote, mana kwenye Review zake nimeona minor complain tu.
Thanx
mdahavyose@hotmail.com