Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

Mimi nina Hofu moja tu kwa hapa bongo maintenance yake ipoje maana wengine tukikikamata tutalivuruga simchezo na kuliapdate New version hapo kama kampuni wanatusaidiaje labda .Ningependelea wangefungua branch yao hapa bongo .Yangetusaidia kuelekea uchumi wa Kati
 
Uzi wa kikuda Ila nimesoma kurasa zote hadi hapa.

Wanawake hawatofurahishwa na kupatikana kwa mbadala wao. Wengi wao wanachuma pesa kupitia ugwadu wa wanaume.

Tatizo la teknolojia ni kutokuwa na gia ya rivasi.
 
Hahaha mwanamke naona kama anaisha soko hivi!
Original ni Original Tu! Mwanamke ni OG 😀😀😀😀
ila "mizinga" na "uaminifu sifuri" ndo husababisha tukimbilie options zingine (midoli).
Faida ya Midoli ni kuwa huna haja ya kuhofia STIs (sexually transmitted infections)
 
Back
Top Bottom