ujio wa obama na ulinzi kamili

ujio wa obama na ulinzi kamili

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
18kd895-air-force-one.jpg
Air_Force_One_7.jpg

Air_Force_One_Sather_Air_Base_Iraq.jpg

air-force-one-pictures.jpg

air-force-one-retouch1.jpg



Obama-with-security.jpg
 
Utafikiri hatakaa afe!!! ila jamani kuwa presidaa USA ni fahari kubwa mno, Sio huyu wakwetu akionda kwao anapokelewa na afisa Ubalozi wa nchi, Aibu tupu. Yeye akija kwenu mnakataza mpaka watu kwenda mjini. inauma sana.
 
Ndege inaweza pata itilafu angani na ikadondoka, sidhan ka hao walinzi wataidaka.
Hiyo ni show off tu ka ilivyo halaiki.
 
Si mchezo jinsi hao mofisa walivyojizatiti kwa kila kitu
 
m naona dic shows how much vilaza we are! yaan jamaa kamake headline baas wabongo hamli hamlali.. Obama.. Obama.. mwachen afanye anachofanya wabongo fanyen ya kwenu.. mgen akija ndo ata msiende shamba...!!!!!!!!
 
m naona dic shows how much vilaza we are! yaan jamaa kamake headline baas wabongo hamli hamlali.. Obama.. Obama.. mwachen afanye anachofanya wabongo fanyen ya kwenu.. mgen akija ndo ata msiende shamba...!!!!!!!!

Tumeambiwa tusije mjini hauoni kuwa katudhuru???
 
m naona dic shows how much vilaza we are! yaan jamaa kamake headline baas wabongo hamli hamlali.. Obama.. Obama.. mwachen afanye anachofanya wabongo fanyen ya kwenu.. mgen ij ndo ata msiende shamba...!!!!!!!!


Tumeambiwa hata mjini tusiende wakati tubiashara twetu tuko mjini, tutauwafamilia kwaujiowa
Mh.
 
Bwana Asipoulinda Mji, waulindao wakesha Bure
 
Hiyo air force 1 inasindikizwa na na hiyo ndege ya kivita mpaka ifike au ni wakati wa take off tuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom