Kwakua ni JF, wacha ipite tu, ingekuwa tupo chuoni ingekubidi utetee kila hoja uliyoisema hapo kwa kutumia literature zilizonyooka.
Ulichokisema hapo is just a mere rhetoric ya kutetea AI Tech na hakuna kingine, nq haimaanishi kwamba ni sasa, kuna hoja mbadala nyingi sana kwenye hili suala la AI