Mapato ni:Wapendwa naomba kuuliza.Hivi hawa wasanii wanapataje faida kwenye kazi zao.Niki6angalia gharama za maandalizi ni kubwa.Je wanategemea CD kuuza na kupata faida?Msanii anaandaa kazi yake Afrika ya kusini kwa mfano.Tiketi za ndege,hotel,nk.Kazi zao nazikuta kwenye google nadownload 'for free' au wanalipwa na google pia?Vituo vya redio na TV?
we jamaa bwanaSwali;
Je, jamaa anatusua Chemical atajirudi....
HajasignTrue ni ipi?
Huyu jamaa alikuwa mgumu balaa. Ukiskia stereo unavuta taswira ya Swahili, hainangwasu, nawadabisha n.k.
Kuingia WCB nafikiri kutamsukuma. Kama ni talent anayo promo kupitia WCB atazipata za kutosha. Tutegemee makubwa kutoka kwake. Hii ni track yake ya kwanza aliyofanya na mavoko baada ya kuingia kwa Chibu. Hongera.
Huyu jamaa ataacha na kazi benki sasa
Unaelewaje hapa?
Kwa hiyo jamaa amepewa platform ya kurecord wasafi kufanyiwa video na wasafi na promo kufanyiwa na wasafi halafu hakuna kitu kati yao?Nimeelewa kuwa Diamond anampenda Stereo na amempa platform ya kurecord wasafi studio kama ambavyo alifanya kwa dully Sykes Q Chillah Yamoto band Ray C na wengine na haina maana kuwa kamsign
Yeah same to Dully Sykes ile "INDE" ili 'rekodiwa' na Wasafi Studio ikafanyiwa video kwa gharama za Wasafi na hata promo,interview booking zote zilikuwa zinagharamiwa na management ya Wasafi but nothing kilikua kinaendelea kati ya Dully na Wasafi ni love tu ya Diamond kwa wasanii anaowakubaliKwa hiyo jamaa amepewa platform ya kurecord wasafi kufanyiwa video na wasafi na promo kufanyiwa na wasafi halafu hakuna kitu kati yao?
true say kabisa maisha kwanzaLazima ufike muda ujitambue na kuona unatakiwa uwe sehemu sahihi ufanye maisha yako na utengeneze maisha yako ipasavyo.