valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 889
Jumatano siku ya ukaguzi shuleni
Jumanne usiku nasugua malapa na gunzi
Naanika karibu na mafiga .. asubuhi naoga
Halafu natembea peku mpaka shuleni .
Sababu ya vumbi staki yachafuke .
Navaa malapa kengele ya mstarini ikisha
gongwa..
dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia kwa kuchungulia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!
Nilipokuwa mtoto nilikuwa ninaogoa sana ule mwezi mkubwa wa njano, majira hayo yalipokuwa yanafika nilikuwa nina adabu sana kwani nilikuwa nikikosea tu ninafungiwa nje dk chache tu kama adhabu kwa sababu waliijua weakness yangu, kilio nilichokuwa ninakiangusha hapo siku hizi nikikumbuka nacheka sana.
Ucheki hapa lakini, unatisha ee
View attachment 41095
Hebu wekeni wazi ujiinga wenu ulikuwaje?
kwetu ilikuwa j3 na alhamisi sir!Madam hiv ukaguzi ilikuwaga jumatano au alhamisi, hebu niweke sawia hapo
Pole mkuu nna uhakika hiyo picha haitatoka kichwani hadi umauti wako. Na ndiyo ubaya wa kuwapeleka watoto maeneo ya kikubwa hayo, kuna mengi hubakia kichwani mwao hadi wanapozeeka
dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia kwa kuchungulia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!
huu sio ujinga, ni kisomo cha maisha ulipata.
Mi, nilikua nikiingia bafuni siogi na nawa miguu najilowesha maji sehem zinazooneka, ukinigusa mgongo wa motoo, maza akanigundua hicho kibano sitasahau.
Madam hiv ukaguzi ilikuwaga jumatano au alhamisi, hebu niweke sawia hapo
Nilikuwa nikinunuliwa viatu navivaa usiku then cvui mpk asbh yaani nalala nikiwa nimevivaa,.
Madam hiv ukaguzi ilikuwaga jumatano au alhamisi, hebu niweke sawia hapo
kwetu ilikuwa j3 na alhamisi sir!