Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
ujinga ni kumwambia konda shusha kituo flani wakati upo kiti cha mbele karibu na deleva
ujinga ni kupita makaburi afu ukajisemea kimoyomoyo "hili kaburi ni zuri"
Ujinga ni kuleta tena upya thread hii wakati tayari ipo humu!
Ujinga ni kumuita,,,mpenzi wako BABY wakati unajua kabisa ni jitu zima!!!!!!!
Ujinga ni kumuita,,,mpenzi wako BABY wakati unajua kabisa ni jitu zima!!!!!!!
come'on baby!