Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,961
Ujinga ni kuamini kwamba CCM ndio watu sahihi wa kuongoza Taifa la Tanzania; Kwamba, WAPINZANI wataharibu nchi ikiwa watapewa Ridhaa ya kuongoza.
Ujinga ni Kuamini kwamba, yeyote anaejaribu kuonesha nguvu za kuitoa CCM madarakani kwa mujibu wa kisheria na kikatiba kwa kutumia kura za wananchi huyo NI MPINZANI na anahatarisha AMANI YA NCHI.
Ujinga ni kuamini kwamba AMANI ya nchi inaletwa kwa uwepo wa CCM madarakani
Ujinga ni kuamini kwamba Ukiwa MPINZANI mwenye maono tofauti na UTAWALA, wewe ni MSALITI/ BEBERU, UNATUMIKA, MCHOCHEZI, MVUNJIFU AMANI
UJINGA ni kuhubiria AMANI huku haki za MSINGI za wapinzani zikiminywa na Kubakwa
Ujinga ni kuamini kwamba TANZANIA kuna AMANI huku mitandao ya kijamii ikizimwa na kuwa deactivated.
Ujinga ni kuamini kwamba TUNDU anatumwa na MABEBERU kuja kutuharibia AMANI ya nchi; huku, watu 9 wakiuliwa huko ZANZIBAR na vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha wanamchagua Rais wa matakwa yao.
Ujinga ni kuficha Uovu nyuma ya neno AMANI.
Ujinga ni kutokujua kwamba KAZI ya Tanzania Intelligence Security Services ni kuilinda Serikali iliyopo madarakani dhidi ya kupinduliwa au kuondolewa MADARAKANI kinyume na Utaratibu uliowekwa KIKATIBA kama vile Upigaji kura ( TISS ACT, 1996); Halikadhalika, Ujinga ni kuamini kwamba KAZI ya TISS ni kuitetea serikali iliyopo madarakani kuendelea kuwepo madarakani hata wakati wa upigaji kura kikatiba na kisheria
Ujinga ni kuamini kwamba CHADEMA IKISHINDA basi nchi itakuwa na UKABILA WA KIKANDA; Ikama kuna chuki fulani dhidi ya KASKAZINI huku asilimia 75 ya teuzi za awamu ya 5 ni Kanda ya Ziwa.
Ujinga ni watumishi wa UMMA , wanafunzi na wafanyabiashara kushindwa kujua sehemu sahihi ya kuelekeza kura zao ili Kufanya mabadiliko ya kweli na kuleta maslahi mapana ya TAIFA
UJINGA ni kukubali kutatuliwa shida zenu kwenye MIKUTANO ya kampeni kama vile ukosefu wa Nguzo za Umme BABATI hali ya kuwa malipo yalishafanywa takribani mwaka mzima. Inamaana hili lilikuwa halijuiikani? Ujinga ni kushidwa kujua kuwa hawa watu hawapo SERIOUS.
Tumia nafasi ya kubadili karatasi ya kupiga kura kubadili maamuzi yako. Toa Maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa.