Ujinga ni kuamini mambo haya

Ujinga ni kuamini mambo haya

Ujinga Mkubwa ni kuwa Mnafiki Mk54
Kuongea hiki Alafu Unafanya kile [emoji53]

Ujinga ni kushindwa kuelewa kuwa tunapambania maslahi ya nchi Na vizazi vijavyo after 50 years of POROJO POROJO
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hatuwezi kuuza Nchi

Ujinga ni kuamini kwamba nchi ikipewa wapinzani itauzwa; ujinga ni kushindwa kuelewa kwamba Rais ni taasisi na Sio mtu. Kama nchi itauzwa basi itakuwa taasisi ya Usalama wa nchi haifanyi kazi.

Ujinga ni kushindwa kutafakari unachoongea
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Na kama unaamini hayo wakati umepita darasani basi huo sio tena ujinga bali upumbavu manake mjinga ni yule asiyejua jambo lakini akielimishwa, anaachana na ujinga aliokuwa nao!

Lakini kama umepita darasani na ukafundishwa kwamba hawa jamaa wapo madarakani kwa miaka 60 sasa lakini hata ule mji waliochagua kuwa uwe makao makuu ya nchi bado miaka 60 baade una shida ya maji safi na salama, lakini pamoja na hayo bado unaamini CCM ndio chama bora basi hapo wewe sio tena mjinga bali mpumbavu uliyefuja kodi za wananchi kwa kukaa darasani!
 
Woow , perfect. Upumbavu ni kukubali kusimama kwenye KAMPENI na kusikiliza vitu vya hovyo , yaani takribani miaka 60 ya Utawala unakuja kutuambia Eti tumejitahidi kuongeza idadi ya madawati, tume Jitahidi kuwafanya watoto wasikae chini, tumejitahidi kuongeza maji safi kwa asilimia kadhaa

Upumbavu ni kuendelea kuamini hiki chama kitatuvusha nchi ya ahadi. Tanzania itachelewa kuendelea ikama CCM haitopumzishwa na kupatiwa Mshindani wa dhati. Hakuna nchi iliyoendelea kwa chama kimoja tu.

CCM imeshafeli na haiwezi kuwa na mbinu tena mpaka wakae kando atleast for years na wawe na hofu ya kushindwa Uchaguzi.

Upumbavu ni NEC kushindwa kuona umuhimu wa kukibadili hiki chama.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nani anaweza kununua nchi hii??, what for???

Ujinga wao ni kuongea maneno kwa kupotosha UMMA. Sijui kuuza nchi , sijui Amani Kwanza. Yaani kuna mijutu ni mapumbavu, CCM ikipatiwa ushindani wa kweli ndio amani itavunjwa? So Amani ni CCM KUENDELEA kuwa madarakani!!!!!

Utasikia yakisema Tuitunze Amani yetu .......
unajiuliza what ? How ? Tutataka CCM itoke kwa kura za wananchi , Sasa how tunavunja AMANI.

Ujinga Ujinga Ujinga
 
Ujinga ni kuamini kwamba CCM ndio watu sahihi wa kuongoza Taifa la Tanzania; Kwamba, WAPINZANI wataharibu nchi ikiwa watapewa Ridhaa ya kuongoza.

Ujinga ni Kuamini kwamba, yeyote anaejaribu kuonesha nguvu za kuitoa CCM madarakani kwa mujibu wa kisheria na kikatiba kwa kutumia kura za wananchi huyo NI MPINZANI na anahatarisha AMANI YA NCHI.

Ujinga ni kuamini kwamba AMANI ya nchi inaletwa kwa uwepo wa CCM madarakani

Ujinga ni kuamini kwamba Ukiwa MPINZANI mwenye maono tofauti na UTAWALA, wewe ni MSALITI/ BEBERU, UNATUMIKA, MCHOCHEZI, MVUNJIFU AMANI

UJINGA ni kuhubiria AMANI huku haki za MSINGI za wapinzani zikiminywa na Kubakwa

Ujinga ni kuamini kwamba TANZANIA kuna AMANI huku mitandao ya kijamii ikizimwa na kuwa deactivated.

Ujinga ni kuamini kwamba TUNDU anatumwa na MABEBERU kuja kutuharibia AMANI ya nchi; huku, watu 9 wakiuliwa huko ZANZIBAR kwa kuhakikisha wanamchagua Rais wa matakwa yao.

Ujinga ni kushindwa kujiuliza AMANI tunayoihubiri kuwa tutaiharibu; Ni nani atakayeiharibu? na je itaharibiwa vipi ? na Nani? na kwa Vipi? Ujinga ni kuficha Uovu nyuma ya neno AMANI.

Ujinga ni kutokujua kwamba KAZI ya Tanzania Intelligence Security Services ni kuilinda Serikali iliyopo madarakani dhidi ya kupinduliwa au kuondolewa MADARAKANI kinyume na Utaratibu uliowekwa KIKATIBA kama vile Upigaji kura ( TISS ACT, 1996); Halikadhalika, Ujinga ni kuamini kwamba KAZI ya TISS ni kuitetea serikali iliyopo madarakani kuendelea kuwepo madarakani hata wakati wa upigaji kura kikatiba na kisheria

Ujinga ni kuwa TISS huku ukivaa manguo ya kijani kipindi cha Uchaguzi.

Ujinga ni kuamini kwamba CHADEMA IKISHINDA basi nchi itakuwa na UKABILA WA KIKANDA; Ikama kuna chuki fulani dhidi ya KASKAZINI huku asilimia 75 ya teuzi za awamu ya 5 ni Kanda ya Ziwa.

Ujinga ni watumishi wa UMMA , wanafunzi na wafanyabiashara kushindwa kujua sehemu sahihi ya kuelekeza kura zao ili Kufanya mabadiliko ya kweli na kuleta maslahi mapana ya TAIFA

UJINGA ni kukubali kutatuliwa shida zenu kwenye MIKUTANO ya kampeni kama vile ukosefu wa Nguzo za Umme BABATI hali ya kuwa malipo yalishafanywa takribani mwaka mzima. Inamaana hili lilikuwa halijuiikani? Ujinga ni kushidwa kujua kuwa hawa watu hawapo SERIOUS.

Tumia nafasi ya kubadili karatasi ya kupiga kura kubadili maamuzi yako. Toa Maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Ujinga zaidi ni pale tutakaposhindwa kutumia fursa ya kuipiga chini CCM leo tarehe 28 Oktoba,2020 kisha tuendelee kulalamika.
 
Upuuzi mtupu. Tulia dawa iingie vizuri. Watanzania leo wametoka kutimiza haki yao kama wote. Watanzania wanajua wanachokitaka.
 
Ujinga wao ni kuongea maneno kwa kupotosha UMMA. Sijui kuuza nchi , sijui Amani Kwanza. Yaani kuna mijutu ni mapumbavu, CCM ikipatiwa ushindani wa kweli ndio amani itavunjwa? So Amani ni CCM KUENDELEA kuwa madarakani!!!!!

Utasikia yakisema Tuitunze Amani yetu .......
unajiuliza what ? How ? Tutataka CCM itoke kwa kura za wananchi , Sasa how tunavunja AMANI.

Ujinga Ujinga Ujinga
Una mtazamo finyu Sana. Hii ni issue ya nchi so watanzania hawana imani na chama binafsi kama hiki cha Mbowe.Chama hiko unachojifaragua nacho, hakina weledi kwenye uongozi wa aina yoyote maana wote wapigaji wote. Ruzuku, michango ya wabunge, pesa ya mifuko ya majimbo mmezipeleka wapi?. Magufuli anatosha kabisa, na Sera za CCM ndio zitakazo ivusha nchi hii Kwenye uchumi wa juu juu juu.
 
Maadui wa taifa hili bado ni wale wale ila ujinga ndio unaongoza.

Kumbe ujinga hauondoki kwa elimu tu bali elimu bora
 
Ujinga ni kuamini kwamba nchi ikipewa wapinzani itauzwa ; ujinga ni kushindwa kuelewa kwamba Rais ni taasisi na Sio mtu . Kama nchi itauzwa basi itakuwa taasisi ya Usalama wa nchi haifanyi kazi .

Ujinga ni kushindwa kutafakari unachoongea
Hatuwezi kuwapa Nchi wapinzani hata siku moja.

Upinzani hawana msimamo hata kidogo.

Kule upinzani wamejaa wapiga dili watupu
 
Ujinga ni kukataa MABADILIKO

Ujinga ni kuwakataa wazungu huku kupeleka maombi ya mikopo na misaada

Ujinga ni kushindwa kufahamu maana ya Demokrasia

Ujinga ni kutokujua kuwa wewe ni MJINGA
UJINGA NI KUSHINDWA KUSOMA NA KUELEWA Mada

Ujinga ni kutatua matatizo ya wananchi kipindi cha kampeni, huku kipindi chote cha utawala wa 5 years hukuweza kuzitatua.

Ujinga ni kuwa MJINGA
Ujinga ni ku-support kauli chochezi kuwa "usipoichagua CCM huletewi maendeleo huku nchi ikiitwa ya kidemokrasia!
 
Ujinga ni kuamini kwamba CCM ndio watu sahihi wa kuongoza Taifa la Tanzania; Kwamba, WAPINZANI wataharibu nchi ikiwa watapewa Ridhaa ya kuongoza.

Ujinga ni Kuamini kwamba, yeyote anaejaribu kuonesha nguvu za kuitoa CCM madarakani kwa mujibu wa kisheria na kikatiba kwa kutumia kura za wananchi huyo NI MPINZANI na anahatarisha AMANI YA NCHI.

Ujinga ni kuamini kwamba AMANI ya nchi inaletwa kwa uwepo wa CCM madarakani

Ujinga ni kuamini kwamba Ukiwa MPINZANI mwenye maono tofauti na UTAWALA, wewe ni MSALITI/ BEBERU, UNATUMIKA, MCHOCHEZI, MVUNJIFU AMANI

UJINGA ni kuhubiria AMANI huku haki za MSINGI za wapinzani zikiminywa na Kubakwa

Ujinga ni kuamini kwamba TANZANIA kuna AMANI huku mitandao ya kijamii ikizimwa na kuwa deactivated.

Ujinga ni kuamini kwamba TUNDU anatumwa na MABEBERU kuja kutuharibia AMANI ya nchi; huku, watu 9 wakiuliwa huko ZANZIBAR kwa kuhakikisha wanamchagua Rais wa matakwa yao.

Ujinga ni kushindwa kujiuliza AMANI tunayoihubiri kuwa tutaiharibu; Ni nani atakayeiharibu? na je itaharibiwa vipi ? na Nani? na kwa Vipi? Ujinga ni kuficha Uovu nyuma ya neno AMANI.

Ujinga ni kutokujua kwamba KAZI ya Tanzania Intelligence Security Services ni kuilinda Serikali iliyopo madarakani dhidi ya kupinduliwa au kuondolewa MADARAKANI kinyume na Utaratibu uliowekwa KIKATIBA kama vile Upigaji kura ( TISS ACT, 1996); Halikadhalika, Ujinga ni kuamini kwamba KAZI ya TISS ni kuitetea serikali iliyopo madarakani kuendelea kuwepo madarakani hata wakati wa upigaji kura kikatiba na kisheria

Ujinga ni kuwa TISS huku ukivaa manguo ya kijani kipindi cha Uchaguzi.

Ujinga ni kuamini kwamba CHADEMA IKISHINDA basi nchi itakuwa na UKABILA WA KIKANDA; Ikama kuna chuki fulani dhidi ya KASKAZINI huku asilimia 75 ya teuzi za awamu ya 5 ni Kanda ya Ziwa.

Ujinga ni watumishi wa UMMA , wanafunzi na wafanyabiashara kushindwa kujua sehemu sahihi ya kuelekeza kura zao ili Kufanya mabadiliko ya kweli na kuleta maslahi mapana ya TAIFA

UJINGA ni kukubali kutatuliwa shida zenu kwenye MIKUTANO ya kampeni kama vile ukosefu wa Nguzo za Umme BABATI hali ya kuwa malipo yalishafanywa takribani mwaka mzima. Inamaana hili lilikuwa halijuiikani? Ujinga ni kushidwa kujua kuwa hawa watu hawapo SERIOUS.

Tumia nafasi ya kubadili karatasi ya kupiga kura kubadili maamuzi yako. Toa Maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Ujinga ni kuamini ccm itatoka madarakani kwa sanduku la kura.
 
We jamaa mbona huwa unapenda sana kuzungumzia mambo ya Tanzania,nini kinakuwasha na hii nchi ?
Kwenye Corona ulipiga sana kelele,ulibwabwaja hadi mate yakakutoka kama mvua,uliwanga na kwenda waganga wote,hebu ongelea mambo ya nchi yako aise,Tanzania achana nayo.
 
Back
Top Bottom