Na Mbowe alipiga Mpunga kweli kwa EDO Halafu akawatosa wenzie .
Kumbuka Lowassa kipindi hiko alikuwa hajui hata kuongea Vitu vikaeleweka lakini Mbowe the Opportunist alizunguka na Edo nchi nzima. Mwaka Huu Tundu very energetic and smart, jamaa kamuachia mshikaji mwenyewe
Ujinga ni kuamini kuwa Mbowe the Opportunist yu pamoja na Lissu.
Mwaka huu Lissu kazunguka nchi nzima pekee yake, hakuna support ya mwenyekiti, inawezekana vipi? Wakati hata Jk alikuwa akimpa support Ngosha.
Upinzani wetu ni wakipumbavu na Ngosha kafanya la maana kuwapa Discipline. Wote Out. Wengi ni wanafiki na hawapo real.
Bungeni kazi yao kugoma goma na kutoka nje , na wakitoka nje yanaenda kulala Hotel na kucheza games, night clubs , pombe na Uzinzi na kuvunjika viungo vya mwili.
Ngosha kawapa Displine. Nilikuja kuudharau upinzani walipo mpokea Edo , mara hii wamempokea yule stupid man mmwera who was playing their minds all the time, almost always.
Natamani Ngosha afute upinzani Wote tuanze moja. Futilia Mbali . Kila Uchaguzi Mbowe, Seif , ZZK, Lipumba ina maana hawa ndio smart kushinda wengine, watu wenyewe ni Mazeee.