#COVID19 Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

Wewe CHADOMO wakitofauti sana, Nimekufuatilia sana nimeukubali Uzalendo wako kwa Taifa lako, Hongera Sana endelea hivyohivyo
Uzalendo sio kushabikia bali kunyooshea mikono penye uzaifu
 
Ujerumani wametusaliti kama Zitto

Wanatoaje Misaada wakati Mwenyekiti ana 'kesi' ya kubambikiwa na bado yupo mahabusu?
wenzio wanajar matumbi yao sio chadema , ikifika muda wakiona maslai ndan yenu watawasapoti tena
 
ahaa, wakiwaletea misaada kama hii wanakuwa ni wadau wa maendeleo, wakiwaambia fuateni misingi ya sheria na haki za binadamu mnasema hawa mabeberu wasiwaingilie mambo yenu ya ndani hayawahusu siyo !!
Sisi tunawadau wa maendeleo "mabeberu " anawajua kiroboto
 
Bila shaka njama ya mabepari. Wanataka kutuaminisha ni watu wazuri.
 
Najua hapa CHADOMO wamenuna sana aise
 
kazi nzuri sanaa
 
Kwenye msaada wanaitwa wafadhili, kwenye demokrasi wanaitwa Mabeberu.
 
Hiyo pesa mbuzi inatolewa na taifa kubwa kama Ujerumani ni dharau kwa Tanzania. Mo tu kachangia 4bn kujenga uwanja wa mpira
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
VIVA TANZANIA VIVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…