manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,060
- 11,831
Huyo jamaa unaweza kushindwa kumwelewa, ni kweli hajui hata hayo makaa ya nawe wanayaagizwa Toka Russia ⁉️‼️Makaa Ya mawe pia Ulaya Wanamtegemea Urusi kama hufahamu. Russia ni Nchi ya Pili duniani baada ya US kwa Makaa ya Mawe.