Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

Sappire

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
5,421
Reaction score
13,457
Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
 
Serikali ya CCM kwenye Architectural design hamna kitu, wanachojua ni kujigamba tu wametumia mabilioni ya pesa kwenye miradi yao ila sura za majengo bora angepewa hata fundi maiko, Ikulu ya Dodoma walishindwa kuja hata na ramani tofauti wakaamua kufanya copy and paste ya Magogoni!
 
Vp stendi ya bus za mkoani nayo inatengenezwa!

Ova
 
Back
Top Bottom