Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi

1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k

2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni

3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye siasa mkasahau mradi kitawalamba tu .

4) Mradi umebakuza takribani miezi tu unadhani utakamilika pitch bado viti kufungwa bado kuweka mataa bado yaani ni zero

5) Mkandarasi akamatwe huwezi peleka kiwanja porini sisi sio sokwe .
6)Sasa mmeomba backup kutoka China wamalizie uwanja mshavurunda turudishe mpira kwa kipa wapewe rwanda.

Afcon inakuja kwenye nchi ambayo hata miundombinu kama barabara ni changamoto, maji hakuna, hospital hadi sasa hazijajengwa anyway ukichanganya siasa na michezo mwisho wa siku inakuaga hivyo .

Ukicheki uwanja wa kenya uko vizuri wamebakiza pitch tu wakamilishe facilities zingine nikumalizia tu
Uongozi mbaya husababisha miradi kufa .

Mliwambia how are you kumbe nahela hamna mlitegemea kukopa ili mkamilishe ujenzi , tajiri hanuniwi aya sisi yunataka uwanja ukamilike
 
Kuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
 
Wapewe tu rwanda bongo hakuna kitu
 
Ipewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
 
MISIWE mnakurupukia VITU na hamvijui
Ipewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
WEWE SIO shabiki WA soka na hua nakwambia kila SIKU HUNA UNACHO kijua ni mjinga FULANI hivi HUNA UNACHO kijua huwa una washwa madako TU, ANDIKA neno nifahamishe nikujize KITU sa hii haraka
 
Hii fursa ikiondoka ndio basi tena, itabidi nchi isubiri miaka miaka mingi kuja kuandaa tena kama itakuwa tayari ina viwanja bora. Tatizo ni kuwa na viongozi wasiokuwa na maono ya fursa za nchi. Walipojenga uwanja wa mkapa waliona imetosha kumbe walitakiwa kujenga viwanja vingine katika majiji mengine ili iwe rahisi kuomba na kupewa kuandaa michuano mikubwa. Kuna michezo ya jumuiya ya madola, olimpiki na kombe la dunia lakini hakuna maono ya kujiweka tayari kuwa na viwanja vya michezo hiyo ili ukiomba kuandaa unapewa kwa kuwa tayari una viwanja
 
Ipewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
Kwa uhalisia ukitoa uwanja wa mkapa na amana complex kunakiwanja gani kingi
Hii fursa ikiondoka ndio basi tena, itabidi nchi isubiri miaka miaka mingi kuja kuandaa tena kama itakuwa tayari ina viwanja bora. Tatizo ni kuwa na viongozi wasiokuwa na maono ya fursa za nchi. Walipojenga uwanja wa mkapa waliona imetosha kumbe walitakiwa kujenga viwanja vingine katika majiji mengine ili iwe rahisi kuomba na kupewa kuandaa michuano mikubwa. Kuna michezo ya jumuiya ya madola, olimpiki na kombe la dunia lakini hakuna maono ya kujiweka tayari kuwa na viwanja vya michezo hiyo ili ukiomba kuandaa unapewa kwa kuwa tayari una viwanja
Majij8 kama
Mwanza
Arusha
Mbeya
DOdoma
Ilitakiwa yawe na viwanja vya mpira visivyopungua viwili ila sasa uhalisia ukoje viwanja vipo vya hovyohovyo yaani shida tu
 
Kuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
Ngoja tuone
 
angekuwepo magufuri huo uwanja ungekuwa ulishaisha lakini hawa waliopo walishapiga pesa na wameshajenga majumba yao ya kifahari walitegemea kama kawaida wakipewa vimasada watadanganyishia
Wakishakula zikaisha wanaanza kumtuma mama aende kwa waarabu kutafuta mkopo wa masharti nafuu asee ufisadi hii nchi hautaisha
 
Kwa uhalisia ukitoa uwanja wa mkapa na amana complex kunakiwanja gani kingi

Majij8 kama
Mwanza
Arusha
Mbeya
DOdoma
Ilitakiwa yawe na viwanja vya mpira visivyopungua viwili ila sasa uhalisia ukoje viwanja vipo vya hovyohovyo yaani shida tu
Uwanja mpya zenji
 
Back
Top Bottom