dasi besi
Senior Member
- Jun 12, 2015
- 190
- 105
Makao makuu ya mkoa wa geita yanahamishiwa chatoChato itakuja kuwa Mkoa one of these days.
Makao makuu ya mkoa wa geita yanahamishiwa chatoChato itakuja kuwa Mkoa one of these days.
It taints good governance. Favouritism.JamiiForums huu uzi mbona uko huuku?
Mwanahabari Huru huu uzi uweke jukwaa la siasa na utoe maelezo kidogo ili wasipate sababu ya kuuleta jukwaa la picha.
Hiii nchi jamani!!!
Wanazijenga wenyewe kwa pesa yao, sio ya walipa kodi.Hivi Kilimanjaro ina watu wangapi kustahili kuwa na shule nyingi za sekondari kama ilivyo sasa?
Who scrunitized it?The decision was carefully scrutinized before made operationally
Mkoa wa Kilimanajo una eneo dogo na wakazi milioni 1 laki nane. Una hospitali 2 za rufaa na hospitali 1 ya rufaa ya kimataifa. Una hospitali 9 za Wilaya zinazojisheleza kwa kila namna. Mkoa wa Geita ni mkubwa mara 3 kwa eneo kuliko Mkoa wa Kilimanjaro na una wakazi milioni 4. Hauna hospitali ya wilaya hata moja inayojitosheleza, haina ya rufaa, haina ya rufaa ya kimataifa. Hizo bajeti za Kilimanjaro alichota nani akalipia nani? Kwani wananxhi wa Geita siyo watu? Na hapo hujasema shule za sekondari wala chuo kikuu wala barabara za lami wala umeme kijijini. Twende Ruangwa Mkoa wa Lindi kwa Waziri Mkuu nako hata minaya ya Vodacom hawana hata barabara ni porini tu, lakini eneo kubwa watu wengi. Ilikuwaje hali ikawa hivi? Ni demokrasia au ni watendaji walioshika hatamu? Na hso waliopendelewa kupitiliza mbona hawana shukurani wanaichukia VCM leo? Ni bahati nzuri tu (au ni mbaya?) kuwa Rais na Waziri Mkuu wa Awamu ya 5 wanatoka maeneo yaliyosahauliwa kabisa na watendaji huko nyuma, kila wakitaka kurekebisha uwiano wanaonekana kama wanajipendelea kumbe sivyo.
We jamaa....mkoa wa Geita unawatu millioni 4?Mkoa wa Kilimanajo una eneo dogo na wakazi milioni 1 laki nane. Una hospitali 2 za rufaa na hospitali 1 ya rufaa ya kimataifa. Una hospitali 9 za Wilaya zinazojisheleza kwa kila namna. Mkoa wa Geita ni mkubwa mara 3 kwa eneo kuliko Mkoa wa Kilimanjaro na una wakazi milioni 4. Hauna hospitali ya wilaya hata moja inayojitosheleza, haina ya rufaa, haina ya rufaa ya kimataifa. Hizo bajeti za Kilimanjaro alichota nani akalipia nani? Kwani wananxhi wa Geita siyo watu? Na hapo hujasema shule za sekondari wala chuo kikuu wala barabara za lami wala umeme kijijini. Twende Ruangwa Mkoa wa Lindi kwa Waziri Mkuu nako hata minaya ya Vodacom hawana hata barabara ni porini tu, lakini eneo kubwa watu wengi. Ilikuwaje hali ikawa hivi? Ni demokrasia au ni watendaji walioshika hatamu? Na hso waliopendelewa kupitiliza mbona hawana shukurani wanaichukia VCM leo? Ni bahati nzuri tu (au ni mbaya?) kuwa Rais na Waziri Mkuu wa Awamu ya 5 wanatoka maeneo yaliyosahauliwa kabisa na watendaji huko nyuma, kila wakitaka kurekebisha uwiano wanaonekana kama wanajipendelea kumbe sivyo.
Ilipitishwa kwenye bajeti?utekelezaji wa ilani ya CCM; kuwapelekea wananchi huduma za kijamii.
Au Serikali itahamia Chato baada ya DodomaBasi si muda mrefu itakuwa nchi kamili
Huyu jamaa anaweza kuitangaza jamhuri ys Chato.Au Serikali itahamia Chato baada ya Dodoma
Mikoa 120?!!Hivi Kilimanjaro kuna hospitality ya rufaa ya Serikali?? KCMC ni ya walutheri na hii imejengwa kwa michango ya waumini.Siyo kila kitu kilichopo Kilimanjaro ni Serikali. Tanzania ni zaidi ya Kilimanjaro. kuna mikoa 120 hivi mikoa mingine haihitaji Huduma ni Chato tu?