Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
IMG-20171116-WA0029.jpg

Tujikumbushe: Hospitali ya Mkoa wa Geita yapandishwa hadhi kuwa Teule ya Rufaa
 
Ni mtu hatari sana huyu. Utachotaje pesa kienyeji enyeji ambazo hazikupangwa katika bajeti ya nchi kwenda kufanya uyatakayo? Mpaka awamu hii inaisha anaweza hata akawa amechota trilioni 3 mpaka 5 bila idhini ya Bunge. Kuna faida gani basi ya kuendelea kuwa na Bunge ni bora alifute tu tujue moja.

Kweli huku ni kufuata nyendo za Mobutu.
 
Ni mtu hatari sana huyu. Utachotaje pesa kienyeji enyeji ambazo hazikupangwa katika bajeti ya nchi kwenda kufanya uyatakayo? Mpaka awamu hii inaisha anaweza hata akawa amechota trilioni 3 mpaka 5 bila idhini ya Bunge. Kuna faida gani basi ya kuendelea kuwa na Bunge ni bora alifute tu tujue moja.
Mkuu ni kweli usemayo. Sasa nani ambaye atakayeweza kuinua mdomo wake na kukemea haya? Ndio maana mtu anajihakikishia katika teuzi zake wote ni watu wake na ana uhakika hakuna hata mmoja atakayembishia anaposema lake.
 
Huu uzi unastahili kuwepo jukwaa la siasa. Mambo ambayo anafanya Rais wa nchi kwa mfano hili la kuchota pesa bila idhini ya Bunge hakuna jukwaa ambao uzi huu unastahili zaidi ya siasa. Kama kuna vigezo vingine ambavyo mnatumia kuamua uzi unastahili kuwekwa wapi basi tufahamishwe.

Yes. Mhusika anapaswa kuweka maelezo ili uzi ujitosheleze kuwepo Jukwaa la Siasa.
Asante.
 
Kabisa Mkuu juzi nimemsikia huyo mtotowa Dada yake ambaye ni katibu mkuu pale Fedha akipigia debe kukopa ndani na nje ya nchi nikaishiwa nguvu kabisa. Hawa wahuni wataifilisi hii nchi jinsi wanavyokurupuka. Miradi ya kinyemela pesa ipo lakini miradi ambayo inapangiwa bajeti zinapelekwa 35% tu ya makadirio au wakati mwingine hawapeleki hata senti moja.

Mkuu ni kweli usemayo. Sasa nani ambaye atakayeweza kuinua mdomo wake na kukemea haya? Ndio maana mtu anajihakikishia katika teuzi zake wote ni watu wake na ana uhakika hakuna hata mmoja atakayembishia anaposema lake.
 
Huu uzi unastahili kuwepo jukwaa la siasa. Mambo ambayo anafanya Rais wa nchi kwa mfano hili la kuchota pesa bila idhini ya Bunge hakuna jukwaa ambao uzi huu unastahili zaidi ya siasa. Kama kuna vigezo vingine ambavyo mnatumia kuamua uzi unastahili kuwekwa wapi basi tufahamishwe.
Mkuu, huu uzi hauna maelezo.

Sasa unataka watu wajadili picha tu?

BAK, tumetoa nafasi kwa mleta uzi aweke maelezo angalau machache ili iweze kujadilika.
 
Kabisa Mkuu juzi nimemsikia huyo motto wa Dada yake ambaye ni katibu mkuu pale Fedha akipigia debe kukopa ndani na nje ya nchi nikaishiwa nguvu kabisa. Hawa wahuni wataifilisi hii nchi jinsi wanavyokurupuka. Miradi ya kinyemela pesa ipo lakini miradi ambayo inapangiwa bajeti zinapelekwa 35% tu ya makadirio au wakati mwingine hawapati hata senti moja.
Nilikua na vija wa Tanesco siku moja wakiwa wanawaunganishia watu umeme (wateja wapya) waka wananiambia kuwa hawa watu wamelipia hii huduma kwa zaidi ya miezi 7 iliyopita ndio tunawaunganishia leo. Kiukweli serikali haina hela na haitaki kusema ukweli. Wanachofanya wanaamua kwa sasa hela tununue bomba dia baadae tupeke chato,baadae tupeleke wizara fulani. Hicho ndicho kinachofanyika. Hela nyingi zinatumia nje ya bajeti. Acha niishie hapa sina hela ya kulioa fine ya uchochezi.
 
Back
Top Bottom