Ujenzi wa ghorofa moja tu

Mkuu foundation pekee Fundi anataka milion 8.
Na gharama za vifaa uwe na mili 18 kufikia kwenye hiyo foundation,ukimaliza hapo ndio unaanza kujenga tofari ya kupata vyumba....kwa hiyo kabla hajaanza jitasmini kwa mshahara wako
Hata ukiwa na million 6 niite nitakujengea boss
 
Mkuu ukishaanza kijana nipo hapa kwa kibarua chochote hata cha kulala site


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ina mana mzungu akishasema hivo basi nasisi tuwaige? Huko Ni Bara lingine bana, sio kila kitu tuamini wazungu tu
...Na pia Wale wanalazimika kufanya hivyo kutokana nchi zao kuwa na nafasi finyu na ghali kwa ajili ya kujenga mijengo binafsi!
Lakini hapa ukitoka hatua chache tu nje ya kija mji wa nchi hii ni mapori kwa kwenda mbele!
Fikiria tu Chalize hadi Segera ilivyo mfano wa utupu wa nchi hii!
Halafu unasema jamaa asijipe kile roho yake inapenda??
Jenga ghorofa lako ndugi yangu ujimwake tani yako!
Maisha yenyewe mafupi haya..!![emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani yeye yupo singapore?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…