Ujenzi wa ghorofa moja tu

Nilikua ninahamu sana kuona hii ramani mana ilikuwa inachelewa kuload. Duh!! Umeniweza mkuu
Uzuri wa ramani hii haihitaji AC hata joto la tropical AC ni built in na solar power.
 
BOQ inaenda sambamba na michoro ili apate building permit!
 
very informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?
 
very informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?
Zipo za kibongo 10% kama kawaida yao! unahamia baada ya miaka 2 nyumba inapasuka ufa
 
Na wewe nae ndio umekurupuka toka usingizini? Au ulikua unaota? Wapi umeambiwa Indonesia wanakaa waafrika?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sikuwa na maana hiyo ila jinsi ulivyo jibu ilionyesha kama vile Indonesian haikaliwi na watu wenye ngozi nyeupe basi nikajua Indonesia inakaliwa na waafrika
Wala sio ugomvi mkuu ni joke tu usikasirike
 
Kuna kabila fulani kule kwetu kanda ya ziwa wanapenda sana maghorofa na wakifika dar utawaona mimacho iko juu. Sina shaka na wewe ni wa kulekule.
 
Swali lako la kama unaweza kujenga kwa kutumia mshahara humu ndani hakuna atayeweza kukujibu. Na kama wakikupa jibu litakuwa so dissapointing.
 
...na mtu akitaka kuvunja nyumba ya chini na kujenga ka-lodge ka kizushi ka ghorofa 1 napo inabidi apitie this whole process mkuu?
Kama una kiwanja kimepimwa na una hati miliki, unaaaza kwenye Building permit baada ya michoro yote na vitu vingine. Muhimu....
 
very informative,,lakini hivi hakuna kampuni inayoweza kunifanyia hizi process wakati mi nikiwa nimejinyosha,,unajua sipendi sana mizunguko zunguko.?
Zipo mkuu...bila wasiwasi....
Siku tunakukabidhi Funguo za nyumba tuu

Ni pm tuu...
 
BOQ inaenda sambamba na michoro ili apate building permit!
Boq inakuwa baada ya michoro( Detailed working Drawings)

Ni muhimu kwa ajili:
1. Kujua gharama za ujenzi mzima
2. Inakupa cost reflection ya kila kitu kwenye nyumba yako...
Mfn; kwenye boq tiles zimekuwa priced 35,000 kwa sqm ila wewe unauwezo wa tiles za 33,000 kwa sqm..then unaweza kubadili specification za tiles au floor finish ili uendane na budget yako....

3. BOQ inasaidia kumanage cost za mradi...unalipa kazi halisi iliyofanyika site....badala ya kulipa approximate quantities.

4. BOQ inakusaidia kuandaa schedule of materials....unaweza kujua unahitaji mabati mangapi, matofali mangapi , mifuko ya cement mingapi, mchanga nk.

Na vingine vingi tuu....

NOTE:

MALI BILA DAFTARI HUPOTEA BILA HABARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…