Ujenzi wa ghorofa moja tu

Ina mana mzungu akishasema hivo basi nasisi tuwaige? Huko Ni Bara lingine bana, sio kila kitu tuamini wazungu tu
 
Bila kusahau kwenda kupata stika.....la sivyo akiweka slub tu atasumbuliwa..... na akiwa na mkono mzito fine si chini ya m5 kama sikosei
 
Ina mana mzungu akishasema hivo basi nasisi tuwaige? Huko Ni Bara lingine bana, sio kila kitu tuamini wazungu tu
Singapore wanaishi wazungu? Jifikirishe japo kidogo tu! Na hiyo nimetoa ni mifano michache tu,nchi nyingi wanazoishi maisha ya kwenye "Flats" wanatamani kuishi nyumba za chini.
 
Singapore wanaishi wazungu? Jifikirishe japo kidogo tu! Na hiyo nimetoa ni mifano michache tu,nchi nyingi wanazoishi maisha ya kwenye "Flats" wanatamani kuishi nyumba za chini.
Tupe sababu sasa, mbona unazunguka hutak kutoa jibu?
 
Singapore wanaishi wazungu? Jifikirishe japo kidogo tu! Na hiyo nimetoa ni mifano michache tu,nchi nyingi wanazoishi maisha ya kwenye "Flats" wanatamani kuishi nyumba za chini.
napita tu kumbe Indonesia wanakaa waafrika Asante kwa kutujuza mkuu
 
Yes, juu standard three bed rooms, chini sebule, jiko pamoja na chumba cha wageni...vyumba vyote vinajitegemea... size 180msq to 250msq
Sq meter moja kitalaam ni 800000 zidisha Mara sqm zako
 
nyumba ya gorofa moja kwa kuishi ni nzuri sana..hakuna vumbi na hakuna vibaka lakini pia unapata hewa fulani amazing....hata mimi nitakapojenga najenga gorofa 1 kwa ajiri ya kuishi.magorofa mabaya ni kama yale ya ilala ambayo watu kibao wamerundikana humo hata sehem ya kuanika nguo hamna
 
...na mtu akitaka kuvunja nyumba ya chini na kujenga ka-lodge ka kizushi ka ghorofa 1 napo inabidi apitie this whole process mkuu?
 
Sasa na wewe ukinyanyua kuta si itakuwa unawazibia wengine? Kwanza ghorofa gani linajengwa uswazi ambapo gari unaiacha barabarani?
 
Singapore wanaishi wazungu? Jifikirishe japo kidogo tu! Na hiyo nimetoa ni mifano michache tu,nchi nyingi wanazoishi maisha ya kwenye "Flats" wanatamani kuishi nyumba za chini.
Kila mtu anatamani asichokuwa nacho mkuu. Uzuri sisi tuna options ya kujenga ukitakacho, wale wanatamani hawana option. Ndio utofauti upo hapo.
 
Unamaanisha nini Jane Lowasa kusema sio halisia??,,kwa uelewa wangu mdogo naona ni halisi ila tu ni 3D architectural design before implementation.
Labda ndiyo maana kasema siyo halisi.Akitaka kuona picha ya nyumba ambayo imeshajengwa tayari.
 
Mkuu Tracend nini tofauti kati archtectual drawings name structual drawings tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…