Ujenzi wa Fly-Over - TAZARA

Ujenzi wa Fly-Over - TAZARA

Tumeona picha mbalimbali na Mbwembwe nyingi kuhusu ujenzi wa FLY OVER ya TAZARA,

Kwa Experience yangu ,kutegemeana na sehemu mbalimbali nilizopita katika Dunia hii. Sina wasiwasi na bajet ya Bil. 100, hii gharama ni Realistic

Lakini wanasema ujenzi utaanza Novemba au soon 2016, Lakini maandalizi siyaoni

Hii ni kwa sabubu hiyo flying over wanayoitaka hapo. Lazima AZAM, aondoke hapo lazima Kipande cha Tazara kiondoke hapo , lazima kipande cha TBC kiondoke hapo.

Sasa Ujenzi utaanzaje November au Jan. Wakati Maandalizi hayaonekani?

Tulia wewe!! usiwe na haraka km mwanamke mwenye....genye.. washamba kama ninyi mtakuwa mnakuja dar kushangaa hizi flyover na jinsi hili jiji linavoenda kupangwa vzr. so plz just be patient
 
Bintiwangara hayo mambo ya kihandisi yanaenda kwa detailed design ambayo inaonyesha wapi patajengwa na eneo la kujengwa na huwa si kuangalia kwa macho tu. Siamini kwamba watu wanaweza kuingia Mkataba bila kuwa na eneo la ujenzi.

Fly over inaweza kujengwa pale TAZARA bila kugusa Bhakresa, TAZARA wal TBC. Nimeona pale kuna eneo kubwa tu na linatosha kujengwa flyover.

Pia kuna siku niliona wanaonesha michoro ya hiyo fly over hivyo ni vyema ukaitafuta na kuiona: siamini kama hiyo michoro ni siri.

Swali langu ni kwamba Je, huo ujenzi unaanza NOVEMBA kama alivyosema JK na Magufuri? au ni siasa?
 
Tumeona picha mbalimbali na Mbwembwe nyingi kuhusu ujenzi wa FLY OVER ya TAZARA,

Kwa Experience yangu ,kutegemeana na sehemu mbalimbali nilizopita katika Dunia hii. Sina wasiwasi na bajet ya Bil. 100, hii gharama ni Realistic

Lakini wanasema ujenzi utaanza Novemba au soon 2016, Lakini maandalizi siyaoni

Hii ni kwa sabubu hiyo flying over wanayoitaka hapo. Lazima AZAM, aondoke hapo lazima Kipande cha Tazara kiondoke hapo , lazima kipande cha TBC kiondoke hapo.

Sasa Ujenzi utaanzaje November au Jan. Wakati Maandalizi hayaonekani?
Mbona mambo hayo yamekwisha rekebishwa siku nyingi tu,pitia TAZARA makao makuu uone.
 
Swali langu ni kwamba Je, huo ujenzi unaanza NOVEMBA kama alivyosema JK na Magufuri? au ni siasa?
Mkuu tunashindwa kukuelewa,kwani tatizo lako ni lipi hasa? Ma injinia hawahulizi maswali ambayo ni obvious:Wamesema detailed technical drawings/design zipo including artistic impression/bird's eyeview ya flyover au swali lako ni la kisiasa zaidi!!
 
Azam alishasogeza ukuta wake ndani na Tazara pia uliza kwanza
 
Mleta mada hivi hatua za ujenzi ni zipi?

Swali langu ni kwamba kama tulivyo ambiwa kwamba Ujenzi unaanza Tarehe moja Novemba je ni kuna ukweli wowote? hilo ndiyo Swali la msingi.
 
Yani mnataka flyover wakati hata maji ya kuswakia hamna!?
 
Mradi huo ni kupoteza pesa tu za watanzania, Bora wangetafuta mji mwingine uliopangika vizuri ndo waweke mradi huo.

Akili zingine bhana sasa wew wataka wakajenge shinyanga ambako hakuna foleni?
 
Heri umemuuliza mkuu
Badala ya yeye kuuliza michoro ikoje anaingiza malumbano katika masuala ya kitaalam.

Mtoa mada asiwe na mchecheto aende tu TANROADS kujipatia elimu ya michoro

Vipi Iringa wazima? Naona angalau umekumbukwapo karoho sasa kametuliapo!
 
Tumeona picha mbalimbali na Mbwembwe nyingi kuhusu ujenzi wa FLY OVER ya TAZARA,

Kwa Experience yangu ,kutegemeana na sehemu mbalimbali nilizopita katika Dunia hii. Sina wasiwasi na bajet ya Bil. 100, hii gharama ni Realistic

Lakini wanasema ujenzi utaanza Novemba au soon 2016, Lakini maandalizi siyaoni

Hii ni kwa sabubu hiyo flying over wanayoitaka hapo. Lazima AZAM, aondoke hapo lazima Kipande cha Tazara kiondoke hapo , lazima kipande cha TBC kiondoke hapo.

Sasa Ujenzi utaanzaje November au Jan. Wakati Maandalizi hayaonekani?

Hi Bintiwangara;
Huyu Muishiwa sana Rais Kiwete anayemaliza muda wake masaa machache yajayo amewahi kusema, ''UKIAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA ZA KWAKO''
Ninachotaka kusema ni kwamba hiyo sijui TAZARA FLY-OVER ni mbwembwe za uombea kura tu! Hakuna cha Flyover wala mamake fly over!!!

Hivi Watanzania tutaamka lini toka kwenye hili lepe la usingizi wa CCM? Kama tu hiyo BRT imechukua miaka kadhaa haijakamilika na tayari baadhi ya miundombinu imeshaanza kubomoka unategemea nini toka kwa Bwana John Alcoholic Mapadlocks?

Napenda nikuhakikishie kuwa hakutakuwa na maandalizi,hakutakluwa na fedha, wala hakutakuwa na Mkandarasi wa kazi hiyo kwa vile kazi hiyo haiko kwenye Bajeti ya 2015/6!! Huwezi ku-plan ujezni wa fly over bila kutenga fedha kwenye Bajeti ya mwaka iliyosomwa July 2015/6 halafu ujenge kitu cha Billioni 100 mwezi wa Novemba, Haiwezekani??

Nilimsikia Mapadlocks akibwabwaja kwenye kampeni zake na Watz kama mazuzu wanashangilia Fly-over ya TAZARA sijui mpaka wapi......!!Nikashangaa sana.

Biblia inasema, "......watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa...." Hapo ndipo watanzania waengi walipo na daima wataendelea kutawaliwa na ri-CCM mpaka kiyama!!!
 
Back
Top Bottom