Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Tumeona picha mbalimbali na Mbwembwe nyingi kuhusu ujenzi wa FLY OVER ya TAZARA,
Kwa Experience yangu, kutegemeana na sehemu mbalimbali nilizopita katika Dunia hii. Sina wasiwasi na bajet ya Bil. 100, hii gharama ni Realistic.
Lakini wanasema ujenzi utaanza Novemba au soon 2016, Lakini maandalizi siyaoni.
Hii ni kwa sabubu hiyo flying over wanayoitaka hapo. Lazima AZAM, aondoke hapo lazima Kipande cha Tazara kiondoke hapo , lazima kipande cha TBC kiondoke hapo.
Sasa Ujenzi utaanzaje November au Jan. Wakati Maandalizi hayaonekani?