Ujenzi/upanuzi wa njia nane Kimara-Kibaha una walakini

OK sijawahi kulisikia!

Hapo ukiulizwa profession yako nina uhakika kwa 100% haina uhusiano wowote ule na uhandisi wa barabara lkn kama kawaida ya Wabongo kujifanya kujua kila kitu na wazungumzaji wa mambo hata msioyaelewa, nakumbuka mwendokasi ilikuwa hivyo hivyo wataalamu kibao leo hii ndo wa kwanza kuyapanda mabasi, jifunzeni kuongelea mambo ambayo mna ujuzi nayo kwa msioyafahamu kaeni kimya, hiyo inaitwa busara!
Nlitegemea unaenda kujenga hoja baada ya kuponda hoja ya mtoa Uzi ajabu umetoa viloja badala ya hoja... Unafundisha watu woga ati kaeni kimya kama wew huna uwezo Wa kuhoji na kujenga hoja ndiye Wa kukaaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni haki ya kila mmoja kutoa maoni yake lakini wengi humu ni waropokaji tu hawajui hata kanuni za uhandisi hata kidogo. Mtoa mada anashangaa kuwa estim kapewa kazi bila kutangaza tender. Ukimuuliza anazijua aina ngapi za njia za kutoa tenda kwa wakandarasi nina uhakika hajui hata moja angekuwa anajua angejua kuwa kuna sababu zinafanya zabuni ashirikishwe mkandarasi mmoja (non competitive) hii uitwa single source procurement. Pia naona watu wanabishana sana kuhusu change za design za barabara kibao hii kwa eng yeyote kwenye ujenzi wa barabara ni kitu cha kawaida kwa sababu wakati wa design kuna assumption kibao zinafanywa ila ukienda site due to many reasons iyo design inashindwa kuwekwa kwa uhalisia inabid ibadilishwe kwwndana na site conditions zilivyokutwa. Pia kuna wengine wanalalamika eti contract sum haibadiliki aisee hii miradi ni measure and value kwa namna yoyote ile mkandarasi hawezi kupewa pesa zaidi ya alizolipwa na kadhalika. Ushauri wangu jamani tujitahidi mambo ya kitaaluma sio ya kila mtu kuongea ongea mwisho wa siku wataalamu wakiwasikia wanawadharau na kuona kama humu jamii forums kumejaa waropokaji tu. Utakuta mtu ni mwalimu wa kiswahili lakini yupo mstari wa mbele kuongelea mambo ya kihandisi yanayohitaji utaalamu wa haki ya juu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tukisema mnakurupuka mnalialia tu humu. Hv hizo ramani huwa zinachorwa hata bila kuchunguza (utafiti) eneo?? kwamba zinabadilika kutokana na hali ya eneo. Kama wewe ni injinia mkuu, rudi darasa la tatu. Muwe mnakubali kuwa mnafanya yenu mkiwa saiti kwasababu ya ujuha wa kupeana tenda. Na isitoshe huwezi kufanya hiyo unayoita nani kompitetivu sijui, kwa masuala ya umma hasa ujenzi wa miundombinu

Jr
 
Mshana Jr wanaposema njia nane maana yake ni hii;
Wanaongeza njia tatu kila upande. Yaani kulia na kushoto kwa barabara iliyopo sasa, barabara ya hivi sasa itaendelea kubaki na itatymika kwa ajili ya mabasi ya mwendo kasi. Hivyo basi, ukichukua hizo tatu za kushoto na tatu za kulia unapata sita, ukiongeza na mbili za meendokasi zinakuwa nane.
kama utajumuisha service road zile za vumbi maana yake zitakua barabara kumi.

Nimeambatanisha ramani kwa uelewa zaidi.
View attachment 994274
Mkuu ufafanuzi kidogo unahitajika hapa. Hiyo barabara ya mwendokasi abiria watapanda na kushukia wapi? Sioni sehemu ya kujenga kituo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka lini wahindi wakawa wajenzi wazuri wa barabara?
Wahindi ndio waliojenga njia ya mwenge hadi tegeta,barabara haina kiwango kabisa, miaka mitatu tu imepita mifereji yake inabomoka.
Kama taifa huwa tunakosea sana tunapowapa kandarasi kubwa namna hii hawa wahindi
NENO LA HAKIBA: Nitahukumiwa kwa nitakachokiandika ujenzi ukikamilika....

Kuna tofauti kubwa kati ya
Kujenga
Kukarabati
Kufanya upanuzi
Japo yote haya katika ujumla wake ni ujenzi.... Kujenga na kujenga upya pia kuna tofauti...ukijenga nyumba na baada ya muda ukaibomoa ili ujenge tena huku kunaitwa kujenga upya.... Kuongeza baadhi ya vyumba kwenye nyumba uliyokwisha jenga kunaitwa kufanya upanuzi.... Kurudia kufanya finishing kwenye nyumba na kurekebisha baadhi ya maeneo kunaitwa kufanya ukarabati..... Hata kwenye ujenzi wa barabara kuna kujenga, kujenga upya, kukarabati na kufanya upanuzi
Tuna barabara nyingi nchini nyingine ziko kwenye hatua ya ujenzi, nyingine ukarabati nyingine upanuzi... Bila kujali ni hatua ipi kuna baadhi zimeshakamilika na zinatumika sasa....
Barabara ya Sam Nujoma - Mwenge Ubungo ilijengwa upya.... Barabara ya Morogoro, Ferry mpaka Kimara mwisho ilijengwa upya.... Barabara ya Moroko Mwenge ilipanuliwa....
Kinachoendelea Morogoro Rd... Eneo la kimara mpaka Kibaha stand mpya sio kujenga upya bali ni upanuzi wa kuongeza barabara zaidi kushoto na kulia.... Sio ujenzi mpya... Ni kama ile ya Moroco Mwenge... Barabara ya zamani inabaki haiguswi kabisa, bali inakarabatiwa baadhi ya maeneo
Sehemu pekee ambayo ujenzi mpya unafanyika ni eneo la Mbezi, pale kuna mzunguko wa barabara nyingi unasukwa.... Kwingine kote ni ukarabati na upanuzi na hili ni mpaka kwenye madaraja yote eneo lote la ujenzi
Kitu cha pili ni original plan ya njia 8, nne kila upande na matoleo na flyover za kutosha... Lakini kinachoendelea sasa ni ujenzi wa njia mbili kila upande hivyo ukijumlisha na mbili za sasa jumla zinakuwa sita..... Sasa nane zinatoka wapi? Kwa mtazamo wangu mbili za mwisho, ya sita na saba ni zile service road za vumbi, moja kila upande... Kwa hesabu hizi njia nane zitakamilika.... Ila zenye lami ukiacha mzunguko wa Mbezi zitakuwa mbili kila upande! hizi ndio ujenzi mpya kabisa... Nyingine mbili ni hii ya zamani... Zikarabatiwa tu! Hazijengwi upya!!! Pamoja na madaraja...
Nitahukumiwa kwa hii mada lakini kwa kinachoendelea sasa huu ndio uhalisia wa hicho kinachoitwa njia 8.... Usije kudhani ni nne za lami kila upande.. Kama ile ya Kuala lumpa airport au J'burg to Durban... na nyingine nyingi duniani
Nahitimisha hii mada kwa kujaribu kuangalia weledi, ujuzi, umahiri, ukubwa na uwezo wa kampuni inayofanya ujenzi husika... Haikushindanishwa kwenye tenda ya wazi... Haiwezi kushindana na kampuni kama strabag na nyinginezo... Kazi yake ya ujenzi wa barabara inayojulikana ni ile ya Msata Bagamoyo... Barabara ile ina mapungufu mengi.... Sasa kampuni hii hii ndio inajenga highway ya barabara 8.... Wakati utasema....
Tumeziona flyovers za Ubungo na Tazara... Picha tukizooneshwa mwanzoni na kilichokuja kujengwa hakuna mfanano kabisa..... Nahofia kitu kilekile kinajirudia kwenye ujenzi wa barabara ya njia 8 Kimara Kibaha
Nitahukumiwa kwa mada hii ujenzi/upanuzi ukikamilika.... Lakini kwa sasa picha imeshaanza kujichora!!!!

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika hawajui hata kusoma michoro, Mfugale bridge limejengwa kama mchoro ulivyokuwa unaonyesha ilanmadoido ya kuongezea ndio yaliwapoteza
Naam mkuu yani wanaupaka matope utafikiri sijui nini..! umbe rangi tu za chini pale zinawapoteza maboya
 
Toka lini wahindi wakawa wajenzi wazuri wa barabara?
Wahindi ndio waliojenga njia ya mwenge hadi tegeta,barabara haina kiwango kabisa, miaka mitatu tu imepita mifereji yake inabomoka.
Kama taifa huwa tunakosea sana tunapowapa kandarasi kubwa namna hii hawa wahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Watetezi wao watakuja sasa hivi

Jr
 
Jaman sio kila kitu lazima muongee barabara ya kimara kibaha m nlikuwa field pale mwexi wa tisa design ilikuwa n kuongeza njia mbili kila upamde ila baadae design ilibadilisha na tanroad tukaletewa ya 3 ways kila side kwa io ndugu mshana pale unapoona ni three ways kila side na zile za katikati tabaka la lami la juu na la chini au tunasema A10 na A20 yataondolewa alafu itawekwa surface mpya inayotumia super pavement asphat kwa io na yenyewe itakuwa mpya kimuonekano na ndio utapata 8 lines ila zile za kati kati sio za mabasi ya mwendokasi zile n za mabasi ya kawaida kwa io hapatakuwa na vituo vya mwendokasi na pia service road zote zitakuwa ni za lami na zitakuwa zinauwezo wa kupitisha two small car kwa kila service road so apo utapata 12 ways service road kama hizo kwenye barabara nyingi za dar haipo ila mfano n road ya arusha tengeru sakina sehemu za service road n sawa na 8 ways ila main road ina 4 ways nazani apo umeelewa na design ya madaraja zote ziliongeza 2.1m kwa io n design ya structure inamaliziwa ndio utaaona mabadiliko kwenye hayo madara afu kingine pia hii road haitakuwa na bamsi au matuta mean yale magari ya katikati yanatakiwa yawe n one way so yatakuwa yanapita kwa speed na pia haiyakuwa na traffic light nyingi coz n express way ila nazani apo umenielewa na kuhusu ubora huwa ubovu unachangiwa na consultancy mzembe ila kwa hii tanroad ndio consultancy na hakuna kazi tanroad kawa comsultancy afu ikawa mbovu maisha na wanaofanya design wanajielewa na wanakujaga site so msubiri muone kitu kitakachotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu watu wnalalamika kuhusu tazara wengi hamkuona render za tazara ngoja ni watafutie clip muone ila pale hakuna hata tofauti na render na always ujenzi unakuwaga 20% less in appearance from renders so pale hakuna tatizo tazara na ile kitaalamu ni flyover bridge na pia sio flyover road ambayo ingekuwa ni fly road inamaanisha ingeweza toka tazrmara hadi airport na pia kinacholeta foleni kwa magari pale ni vingunguti ,jet na kwingineko ambapo ni mbele ya barabara mkuu so barabara baada ya ujenzi wa mwendokasi utaona folen itakavopungua waku

.

Angalau tunapata info kutoka inside source, sio speculations. Umeeleweka kiongozi, niliona baadhi ya calvats zikiongezwa upana, pale Msuguri, suka na garage ilipo camp site yao. Lakini pia waliongeza upana baadhi ya maeneo...

So huenda mshana alikuwa na hoja kuhoji hizo lanes zinazotajwa hapo. Ila hizo service roads, unaweza kushangaa badala ya kuwa lami, zikapigwa changarawe baadae, siwaamini sana nyie wataalamu wa kubadilisha gia angani

Swali, kama mliweza kufanya design ya daraja la juu pale Kibamba ccm, mlishindwa nini kuwa na interchange hapa Mbezi mwisho, ni wapi hasa kuna changamoto ya traffic kati ya hizo sehemu mbili? Kumbuka Mbezi mwisho inalishwa na Goba, Makabe, Mpiji, Kinyerezi na viunga vyake. Sielewi kwa nini wataalamu hawakufikiri kujenga complex interchange Mbezi mwisho.
 
Back
Top Bottom