Ujenzi/upanuzi wa njia nane Kimara-Kibaha una walakini

mara sio ujenzi ni upanuzi, mara sio njia 8, mara muonekano hautakuwa kwenye hiyo raamani!!!!!!!!!
Nimeshindwa kabisaa kumwelewa huyu mtoa mada, bora ungeuliza ufahamishwe kuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimuulize nani wakati nimeandika mimi... Mkiamka na stress msiingie JF, wengine wote waelewe pekeyako ushindwe... Tatizo litakuwa la nani hapa

Jr
 
Acha kutetea tumbo... huhitaji degree kujua kila ugali
Watz dah, JPM alilijua mapema watz hawatawaliki bora kuwapeleka hivyohivyo, kila kitu kulalamika na kujifanya wanajua, MTU amesomea uvuvi anajifanya anajua zaidi ya engineers, hesabu hazidanganyi hazina uchawi wa utabiri kwamba huko mbeleni nisije hukumiwa ni upuuzi tu, je umeona design ya hiyo barabara? Je umeona Mpango kazi wa hiyo barabara? Au umeamka na tress zako utuletee na sisi?
Kwenye Ujenzi njoo na data kwamba umeona design ambayo inaonyesha hicho unachokisema ni kweli, uje utwambie nimeona Mpango kazi wa hiyo barabara ambao umeona si Ujenzi wa barabara Mpya ni upanuzi. Lakini pia utwambie uzoefu wako kwenye kazi za Ujenzi wa barabara ulikuwa inashauri nini au umeona wapi wamekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda kutafuniwa naona.. Haya huu hapa
1547617504781.png


Mshana Jr Huu Kinacho kuchanganya uone ni tofauti kilichopo ni huu mng'ao wa rangi au?
 
Manufacturing date ni mwaka 1970 hata hili hulijui?

Jr

Mbona mv liemba ina maliza miaka 100 na bado ipo mkuu???

Hata wewe unaendesha gari la kijapan la mwaka 2010,na unaita ni jipya.inategemea neno jipya linasimamia nini kwa wakati huo.
 
Mshana Jr wanaposema njia nane maana yake ni hii;
Wanaongeza njia tatu kila upande. Yaani kulia na kushoto kwa barabara iliyopo sasa, barabara ya hivi sasa itaendelea kubaki na itatymika kwa ajili ya mabasi ya mwendo kasi. Hivyo basi, ukichukua hizo tatu za kushoto na tatu za kulia unapata sita, ukiongeza na mbili za meendokasi zinakuwa nane.
kama utajumuisha service road zile za vumbi maana yake zitakua barabara kumi.

Nimeambatanisha ramani kwa uelewa zaidi.
View attachment 994274
Hii nimeipenda maana watu kazi yao polojo na kuonyesha kila jambo baya na halifai sijui kwa faida ya nani.asnt kwa kuiweka barabara nzima Hapo maana tumeanza porojo za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiondoi ukweli kuwa wewe ni mjuaji wa kila mada na jambo humu jamvini...which is a positive complement
Kama si kwa kejeli nasema asante lakini bado siwezi kuwa mjuzi wa vyote sometimes ni kuchokoza mada kwa ajili ya kuelimishana

Jr
 
Back
Top Bottom