ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,844
- 90,353
Sio rahisi hata ukiingia ndani coz vpimo vitakuzingua afu kwa nini usitafute ramani badala ya kubahatisha? Utaigiliziaje dimensions za canopy,colums,.Kwa nini ushindwe kununua ramani kwa Laki moja wakati unajenga nyumba ya mamilioni? Mie huwa siwaelewi hebu tubadilike basi wakuuniigilizie tu mkuu,hongera sana