Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
umejenga nyumba ya ukubwa gani? na vifaa ulivyotumia je? halafu swax ndo wapi boss?Inategemeana na mambo mengi hata hiyo 30m bado ni nyingi au ndogo kwa mwingine,mfano hiyo nyumba kwenye aviator yangu ni 4 bedroom house imecost around 24m pande za swax