Ujenzi ukisiliza watu ujengi

Ujenzi ukisiliza watu ujengi

Penye wengi kuna mengi...

Ukiomba ushauri kwenye kadamnasi ya watu, tegemea ushauri mzuri na mbovu, kila mtu atajifanya anajua zaidi...

Cc: mahondaw
 
Inategemeana na mambo mengi hata hiyo 30m bado ni nyingi au ndogo kwa mwingine,mfano hiyo nyumba kwenye aviator yangu ni 4 bedroom house imecost around 24m pande za swax
 
Hiyo 30milion huku kwetu unajenga ghorofa la maana binafsi nimejenga nyumba ya vyumba viwili sebule na jiko choo ndani kwa milion 4 tu ....
Aisee...umetumia matofali mangapi? Mabati mangapi? Mbao za sh ngapi? Madirisha mangapi na aina gani? Milango mingapi ya aina gani? Achilia mbali vifaa vya umeme na mabomba.
 
Aisee...umetumia matofali mangapi? Mabati mangapi? Mbao za sh ngapi? Madirisha mangapi na aina gani? Milango mingapi ya aina gani? Achilia mbali vifaa vya umeme na mabomba.
Swali zuri
Tofali 4000 za kuchoma tofali moja ni 100 mpaka 200
Milango 5 mmoja ni 30000 mpaka 50000 huku polin mbao bei rahis sana na ndio zinapo toka

Kupaua mbao 2×2 ni 30
4×2 ni 20

Mbao moja ni 2500 ya 2 na ya 4 ni 4500
Madirisha 5 moja ni 50000 na katoto kamoja kaa choo ni ofa ya fundi tena ya viooo

Ukipiga hesabu sizani kama imefika milion 2
Sasa iliyo baki imeenda kwenye mbwembwe.....umeme,plasta,rangi nk...

Kijijin raha bhana ningeng'ang'ania kubaki dar nazani ujenzi ningekuwa nauskia kwenye radio tu kama sio JF
 
Inategemeana na mambo mengi hata hiyo 30m bado ni nyingi au ndogo kwa mwingine,mfano hiyo nyumba kwenye aviator yangu ni 4 bedroom house imecost around 24m pande za swax
swax mkuu? mtaa gani nikaigilizie hiyo nyumba nami naangaika na kakibanda kangu
 
Swali zuri
Tofali 4000 za kuchoma tofali moja ni 100 mpaka 200
Milango 5 mmoja ni 30000 mpaka 50000 huku polin mbao bei rahis sana na ndio zinapo toka

Kupaua mbao 2×2 ni 30
4×2 ni 20

Mbao moja ni 2500 ya 2 na ya 4 ni 4500
Madirisha 5 moja ni 50000 na katoto kamoja kaa choo ni ofa ya fundi tena ya viooo

Ukipiga hesabu sizani kama imefika milion 2
Sasa iliyo baki imeenda kwenye mbwembwe.....umeme,plasta,rangi nk...

Kijijin raha bhana ningeng'ang'ania kubaki dar nazani ujenzi ningekuwa nauskia kwenye radio tu kama sio JF
Aisee huko kijijini kuzuri sana nyumba ya vyumba viwili unajenga kwa 4m! Nimemalizia fence gharama zake ni hizi
Matofali 1950=1,950,000
Louvers 11=440,000
Gate=1,000,000
Bado cement,mchanga,labor charge. Kifupi zaidi ya 4m.
Bado plaster,bado rangi,bado mkanda wa juu!
 
Kijijin kuna uzur wake mkuu yani huku kujenga kwa tope na nyumba inakaza balaa
 
Nyumba ya vyumba vi 4 sebule dining room na laundry ni matofali mangapi approximately
 
Ukiskiliza watu sana kwenye ujenzi hujengi, binafsi niliambiwa hivyo hivyo, kiwanja kilikuwa m25 = ft 80 lakini upana wa ft50 na urefu wa ft40 nimejenga nyumba ya vyumba vi4 ambapo vitatu ni master, jiko, dinning na sebule ya kiasi cha ft 20 kwa 16
Ila wewe umevunja records
 
hongera kwa kujenga ! nadhan mikoani kujenga ni cheap zaid ! ila sin hamu na ujenzi !had unaingia kwako umeona rangi zooote !kitu kidg tu aghali mnoo !ah had inaumiza sana yaan
Labda ulikuwa unaunga unga sana ....mm wakati najenga

nyumba ya kwanza nilitenga package ya kwanza twent mil

nikaweka lengo ikiisha naongeza twent mil ......na ni Dar

nilikuja kuongeza twent mil kuwa 60 mil ...mpaka takataka

za ndani kochi mpya jiko safi kitanda changu nikakamilisha
 
Sioni ajabu,kuna suti zinafika bei hadi laki 6 hadi milioni 2 zipo zinauzwa,lakini waweza shonesha kwa fundi suti ya sh elf 80 tu na ukivaa hata harusini. ukifuatilia kwa makini hapo kuna suti bora,na bora suti. hata kwenye ujenzi ni hivyo hivyo. walikupigia gharama za mbao za treated wewe umetumia mbao za kawaida baada ya 4 years yinatoa unga,walikupigia gharama za mabati ya migongo mipana umetumia kuezeka ya kawaida 4 years tena kutu kibao na kadhalika.
We jamaa kichaaa sana nimecheka mnoo
 
Mwenzenu Lugumi kajenga....Nyumba inapigwa mnada thamani yake ni Bilioni...sasa kwa nini wewe Vimilioni vyako usiende Bar kuweka Heshima...!!
 
Ulitaka ushauriwe vipi? Hujui humu hadi kuna watoto wanaolipiwa schools fees? Halafu ndio vihere here sana na kukatisha watu tamaa
 
Hongera kwa kuwa faza haus boss..

Ila kwa faida ya wengine unaweza kutujulisha kinagaubaga jinsi gani ilifika 30mil peke yake....yaani ulitumia milango ya mbao gani,bati aina gani,fensi ipo au hamna nk. Utakua umetusaidia wengi sana boss
 
Back
Top Bottom