Bunge limekuwa kama jibwa kubwa kibogoyo, lililokatwa kucha!!!
Ndugu yangu nadhani huijui vizuri Tanzania inayolalamikiwa hapa.Mfumo uliopo kwa sasa hivi ni mahususi kwa ajili ya kulinda Maovu kama haya.Kama ambavyo Zitto ameeleza hapo juu Mamlaka ya kuanzisha mchakato wa kisheria kwa jambo hili ni CAG lakini kama ambavyo imeelezwa tayari ameshapewa maelekezo kutenda kunyume cha matakwa ya utendaji wake kisheria.Mambo kama haya si ya kuachia mtu mmoja kuyashughulikia ila kinachotakiwa ni kwa ujumla wetu kama wananchi wa Tanzania kukataa kutawaliwa kwa mfumo huu wa kutuingiza katika umaskini usio wa lazima.Nionavyo mimi Magufuli ndani ya CCM sasa anaonekana ni shujaa kwani katika harakati za kusaka hela za kampeni 2015 anaonekana ni mshika Bango mzuri.Mh Zitto kusema tu Ufisadi huu wa Hawa jamaa haitoshi! Tunaitaji kuona wanafikishwa katika vyombo vya Sheria na kujiuzuru nyazifa zao! Kila Mara mnawataja mafisadi lakini bado tu hawahawa mafisadi wanatesa tu mitaani! Tunaitaji sasa tuone Hawa wanachukuliwa hatua maana Kama sikosei hakuna ata fisadi mmoja alieshitakiwa! Mh Zitto Tunaitaji kuona nguvu Zaidi katika hili swala kwasababu ufisadi ukishamili huzaa serikali legelege!
Mh Zitto kusema tu Ufisadi huu wa Hawa jamaa haitoshi! Tunaitaji kuona wanafikishwa katika vyombo vya Sheria na kujiuzuru nyazifa zao! Kila Mara mnawataja mafisadi lakini bado tu hawahawa mafisadi wanatesa tu mitaani! Tunaitaji sasa tuone Hawa wanachukuliwa hatua maana Kama sikosei hakuna ata fisadi mmoja alieshitakiwa! Mh Zitto Tunaitaji kuona nguvu Zaidi katika hili swala kwasababu ufisadi ukishamili huzaa serikali legelege!
Kwa Katiba hii tuliyonayo ambayo CAG anateuliwa na Rais sitashangaa CAG huyu huyu akaja na maelezo mengine tofauti na yale yaliyomo katika hio taarifa yake ya Ukaguzi, tena kwa maagizo ya Ikulu.
Ilitokea katika issue ya Jairo, sitashangaa ikitokea pia kwa hili.
Tayari Wizara husika ilishakanusha hili wala usitegemee hatua zaidi kuchukuliwa. Ndivyo BIG RESULTS NOW inavyofanya kazi. soma hio thread hapo chiniSasa nini kifanyike, au kinachoweza kufanyika? Tuende hatua zaidi ya kuanika uozo; maana miuozo ya kuzidi imeanikwa, ila hatua stahiki ni za kuhesabu kama zishachukuliwa.
Mr Rocky you nailed it MkuuKwani mkuu Kivumah si unaona kwenye taarifa hapo juu ashaitwa na katibu Mkuu Kiongozi na kupewa maelezo kuwa awasafishe
Soma hapa mkuu uone
Nimesikia CAG kaitwa na Katibu Mkuu Kiongozi na kumtaka awasafishe. Ukweli ni kwamba PAC ilitumia taarifa ya CAG na ni yeye CAG aliyeita matumizi haya kuwa ni matumizi hewa na mradi wenyewe kuwa ni mradi kivuli. Taarifa ya Kambi ya Upinzani Bungeni imenukuu kauli za Mawaziri wakati wa mjadala wa Bajeti za Serikali na Taarifa ya CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, 2012. Sehemu ya Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni hii hapa
Hapo kwenye wekundu.....pana utataTumeendelea kuhoji kwenye Kamati ya PAC ambapo Katibu Mkuu wa Wizara alitoa majibu yaliyodhihirisha kuwa Serikali iliomba Fedha Bungeni kwa udanganyifu, haikusema ukweli fedha hizo wanataka kufanyia nini? Hapakuwa na sababu ya Mawaziri kusema uwongo Bungeni ili Bunge liidhinishe Fedha. Wasipowajibishwa kwa haya, wataendelea kuwa wanasema uwongo.
Bunge limekuwa kama jibwa kubwa kibogoyo, lililokatwa kucha!!!
Sasa mlitaka madeni yasilipwe? hivi nyie watu vipi ? Halafu wakandarasi wangegoma mngemlaumu nani?
leo weye wasema hivi...???!!! Haya waambia na akina Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Ally Kombo, Mtela Mwampamba, etc ectBunge limekuwa kama jibwa kubwa kibogoyo, lililokatwa kucha!!!
umesoma maelezo yote?Sasa mlitaka madeni yasilipwe? hivi nyie watu vipi ? Halafu wakandarasi wangegoma mngemlaumu nani?