Ujenzi huu unafaa?

Ujenzi huu unafaa?

Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
roof yoyote inafaa na kupendeza kulingana na design utakayotengenezewa. cotemporary za bati ,au zege kote ni nzuri unaweza tengeneza ceiling ndefu pasipo kupoteza uhalisia wa jengo ila ni gharama compared to normal roof za juu(depending on aina ya mabati). japokuwa kuna paa za juu zinagharama zaidi mfano ukitumia decra roofing tiles(vigae hzi bei zake za moto) .
 
Asante mkuu.
Ina maana kuweka slab ya zege bei inakuwa juu sana ukilinganisha na mabati?
 
Of course kutakuwa na msingi pamoja na nguzo but kitakuwa kitu cha moja kwa moja
Unaposema kitu cha moja kwa moja unamaanisha nini mkuu?
Na ushauri mzuri zaidi wa ramani ya nyumba unayotaka kuishi hutolewa tu na wataalam waliosomea fani ya Usanifu na ubunifu wa majengo, mara zote hao ndio wanaotafsili kwa usahihi mahitaji yako kuwa mchoro.
 
Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Kar

Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
Kwa logic ya kawaida kabisa kutumia slab itakuwa gharama zaidi ya kupauwa kwa bati.
Reason.
Ili slab iwe safe itahijati nguzo (columns) kwa ajili ya kusuport na kusafirisha mzigo kwenda kwenye stable strata ardhini. (Hapa itacost extra materials kama zege, nondo, mbao za formwork n.k)
Pia slab husafirisha mzigo kwenda kwenye beams so ni lazima ziwe provided na zinaadjust bei kwa ujumla. Kama sio kutumia beams basi utahitaji slab ya thickness kubwa.
Column pia huwa supported na pad ama strips n.k chini ya arhi hivyo utaongeza gharama ya excavation of foundations trenches na mashimo ya pads.
Slab pia itahitaji materials kwa ajili ya finishing ambazo ni water proofing. Gharama yake iko juu kidogo.

Kwa kumalizia ni kwamba utafuata zaidi ya 65% ya procedures na gharama za kujenga ghorofa.

Kwa upande wa bati, mbali na bati zenyewe, misumari, mbao, makowa nadhani ni gharama ya ufundi tu.

Metarmorhic Archdesign, consultancy and construction limited.
+255 757 302 075
Karibu kwa ajili ya;
Kuchorewa ramani.
Kukadiliwa gharama za ujenzi.
Ushauri na usimamizi wa miradi.
Pamoja na Ujenzi.
 
Itafuata taratibu za kujenga ghorofa, jengo lazima liwe na nguzo, hapo juu andaa milioni 20, kwa jengo lenye mita za mraba kuanzia 130-180
Hamna iyo nyingi sana mkuu awezi tumia ela yote iyo ila hapo slab sio chini ya milion 10 maana haibebi mzigo wowote bali inatumika tu kufunika, ingekuwa inabeba mzigo ingefika gharama iyo maana hata nondo utakazotumia hapo sio sawa na utakazotumia unapotaka kujenga ghorofa.tena kama unalaza tofali wala uitaji kujenga hata nguzo.ila gharama zitazidi kuongezeka maana ukimaliza lazima uweke mkeka juu wa kuzuia slab isifyonze maji
 
Nakubaliana na hoja yako, kuezeka tu ilimradi slab inawezekana kwa gharama ndogo, ila kwa kulinda usalama wa mtumiaji inabidi agharamike.

Ukitumia hizi waya badala ya nondo gharama itakuwa chini
wire.jpg
 
View attachment 3452513
Nafikili sasa umenielewa ninachomanisha.maana yake kama ulitakiwa utumie nondo za 16 mm na 12 mm utatumia 12mm na 8 mm na pia mark ya slab utapungua pia kutokana na size ya nondo.kwa iyo kama ulitakiwa kutumia milion 9 kwenye nondo basi utajikuta umetumia milioni 3
 
Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
Huwezi kujua gharama yake kama huna mchoro wa hiyo slab.
Ila kwa kulinganisha gharama ya paa la bati na slab, slab inatumia pesa nyingi kuliko paa la bati
 
Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
Kupaua kwa concrete slab ni gharama lakin ni bora kwa sasa ili miaka mingine mbele uongeze floor juu..

Kupaua kwa bati ni rahisi sana
 
Back
Top Bottom