Hayo ni madarasa, hostel au ofisi?
Ilikuwa kama hivi
Hivi ndani ni nzuri au hovyo tu?Hostel hizo
Full AC au pangaboy?Zipo vizuri tu
Wewe jibu, AC & pangaboi zipo?wataka kusoma au starehe, kwanza DODOMA hakuna joto kali kama DAR
Aisee
Ilikuwa kama hivi