barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Dar barabara za ndani mitaani ni full lami mpaka barabara kuu....hata ukiwa na gari iliho chini sio ishu tena. Unapêta tu.Katika suala la miundombinu, Magufuli ni wakupigiwa mfano barani Afrika kwa sasa. Hapo nampa "kudos" Rais wangu. Kweli kabisa anajitahidi mno maeneo mengi, tena yenye kuonekana kwa dhahiri kabisa. Nahisi hii itakuwa kete yake muhimu itakayo mpambanua kipekee kuelekea chaguzi za 2019 na 2020.