Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,806
- 34,193
Gari maalum la kusambaza kokoto likiwa kazini.
Taswira ya barabara ya Mwenge kuelekea Morocco Dar ilivyo.
Gari la kumwaga maji likipita kwenye eneo la ujenzi huo.
Usambazaji wa kokoto kwenye barabara hiyo ukiendelea.
Taswira nyingine ya barabara hiyo.
UJENZI wa barabara ya Mwenge-Moroco jijini Dar ambao unaonekana kufanyika kwa kasi, hivi sasa baadhi ya maeneo yameanza kuwekewa kokoto, tayari kwa kumwaga lami baada ya hatua za mwanzo za kuchimba, kushindilia ardhi na kuweka kokoto kuonekana zimekamilika.
(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)