Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

Kidogo kidogo utaumbuka!, mlianza kwa kasi ya ajabu kutukana asiyeongea!, mwishoe utatafuta uongo, utakosa la kudanganya!
Uongo upi na kuumbuka kwa aje? Mlijaza madeni ya Serikali hamuwalipi wakandarasi,pesa zote za bajeti iliyopita serikali imelipa wakandarasi.
 
Huwezi kumtenganisha JPM na sekta ya ujenzi Tanzania! Yamkini bila usimamizi thabiti wa JPM kilio cha barabara leo kingekuwa kama kilio cha maji!

Wazo lakutenga Bilion 1 kila makusanyo ya mwezi kwajili ya ujenzi wa barabara alilitoe yeye kipindi hicho cha Mzee Mkapa, lengo likiwa kupunguza utegemezi kwa wafadhili maana mfadhili unamsubilie akufanyie kila kitu.

Huwezi kumtenganisha JPM na sekta ya Ujenzi, kuanzia akiwa waziri mpaka amekuwa Rais, unaposema kajenga KM chache kwa muda gani? Wakati tangia miaka ya 95 yuko katika sekta ya ujenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yule anafaa kusimamiwa ila akisimama peke yake ni mharibifu kama alivyofanya kipindi yeye akiwa mtoa maamuzi
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Kunywa kanza maji asee.

Afu uje usome tena ulichoandika afu ukatembee huko utaona.
 
Miradi gani hiyo? Sasa kama alikuwa sekta ya Ujenzi tena Waziri akija kuzindua akiwa Rais utasemaje hajajenga yeye? Si yeye na wataalamu wake ndiyo wakipanga mpk bajeti ya barabara zipi wafanyie kazi? Hakuwa waziri wa mazingira yule na ndio maana nasema huwezi kuitenganisha mafanikio ya sekta ya ujenzi Tanzania na Magufuli.

Kila utakapogusa katika barabara kuna mkono wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kusifia vitu vya ajabu. Mambo yaliyotendeka awamu ya JK anapewa hongera JK na sio jiwe.
 
Miradi gani hiyo? Sasa kama alikuwa sekta ya Ujenzi tena Waziri akija kuzindua akiwa Rais utasemaje hajajenga yeye? Si yeye na wataalamu wake ndiyo wakipanga mpk bajeti ya barabara zipi wafanyie kazi? Hakuwa waziri wa mazingira yule na ndio maana nasema huwezi kuitenganisha mafanikio ya sekta ya ujenzi Tanzania na Magufuli.

Kila utakapogusa katika barabara kuna mkono wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kalale mbele huko. Alikua anatumwa na JK na hata miradi mingi awamu yake kaikuta ipo planed mezani. Aliyoplan yeye ni kujenga huko kwao na ndege na uwanja wa ndege chattle. Hivyo usitufanye mazezeta eti kuna mkono wake. Babako akikutuma peleka hela hizi benk utasema wewe ndio.umezitafuta...? Kifupi tu alikua janga
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Hamna mkoa ambao haukuguswa na neema za Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miradi gani hiyo? Sasa kama alikuwa sekta ya Ujenzi tena Waziri akija kuzindua akiwa Rais utasemaje hajajenga yeye? Si yeye na wataalamu wake ndiyo wakipanga mpk bajeti ya barabara zipi wafanyie kazi? Hakuwa waziri wa mazingira yule na ndio maana nasema huwezi kuitenganisha mafanikio ya sekta ya ujenzi Tanzania na Magufuli.

Kila utakapogusa katika barabara kuna mkono wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli atakumbukwa kama baba wa ujenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..

Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..

Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..

Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..

Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..

Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa

Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..

Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
Jipige dole kama kweli umeumia ukamwonyeshe mpuuzi sa100
 
Wabunge waliochangia hotuba ya Wizara ya Ujenzi wamelia na kusuasua kwa ujenzi wa barabara za majimboni mwao.

Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli

Chanzo: Bungeni

Hivi magufuli alijenga kilomita ngapi za lami? Maana hata hii lami iliyozinduliwa juzi Tabora ni kazi ya Kikwete.
 
Asiyemkumbuka JPM ni chizi pekee asiyekuwa na akili!!

Mtu kajenga barabara tangu akiwa waziri na hakuna waziri aliyedumu kwenye wizara hiyo kama yeye, halafu iwe rahisi tu kusema eti humkumbuki, ni Ungese huu
 
Akiwa Waziri alijenga yeye na akiwa Rais alijenga yeye, kipi ni kipi?. Maana kwa takwimu kikwetw ndio kajenga kiwango kikibwa Cha lami.
 
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..

Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..

Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..

Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..

Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..

Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa

Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..

Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
ulikuwa jizi wewe na ulikuwa na vyeti feki kabisa
 
Back
Top Bottom