Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Huwezi kumtenganisha JPM na sekta ya ujenzi Tanzania! Yamkini bila usimamizi thabiti wa JPM kilio cha barabara leo kingekuwa kama kilio cha maji!

Wazo lakutenga Bilion 1 kila makusanyo ya mwezi kwajili ya ujenzi wa barabara alilitoe yeye kipindi hicho cha Mzee Mkapa, lengo likiwa kupunguza utegemezi kwa wafadhili maana mfadhili unamsubilie akufanyie kila kitu.

Huwezi kumtenganisha JPM na sekta ya Ujenzi, kuanzia akiwa waziri mpaka amekuwa Rais, unaposema kajenga KM chache kwa muda gani? Wakati tangia miaka ya 95 yuko katika sekta ya ujenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu. kuna miradi kibao alizindua afu hakujenga yeye. Na akawa anajipa maujiko kuwa nimeweza hiki sijui nini. Binafsi jiwe sijawahi mkubali na siwezi mkubali kwa maana aliharibu hili taifa mno
Miradi gani hiyo? Sasa kama alikuwa sekta ya Ujenzi tena Waziri akija kuzindua akiwa Rais utasemaje hajajenga yeye? Si yeye na wataalamu wake ndiyo wakipanga mpk bajeti ya barabara zipi wafanyie kazi? Hakuwa waziri wa mazingira yule na ndio maana nasema huwezi kuitenganisha mafanikio ya sekta ya ujenzi Tanzania na Magufuli.

Kila utakapogusa katika barabara kuna mkono wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Barabara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa wakati wa ilani za Uchaguzi toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.

Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais miaka zaidi ya 20, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani barabara ya Tukuyu-Mbambo -Busokelo-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee...... miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.

Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
Amekuwa kwenye sekta ya ujenzi kwa miaka 20 hakuna alichofanya! Alisikika mlevi mmoja wa Viroba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Kwahiyo wabunge wapuuzi wewe ndio una akili? Tanzania buana...si uchangie hela za kujenga hizo barabara ili tumsahau JPM? Mkono mtupu haulambwi, sisi waswahili twasema hivyo.
Kinachofanya akumbukwe ni matendo yake. hatuwezi kula nahau na misemo. Tunataka kazi kwa vitendo. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
 
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Kidogo kidogo utaumbuka!, mlianza kwa kasi ya ajabu kutukana asiyeongea!, mwishoe utatafuta uongo, utakosa la kudanganya!
 
Mbunge aruka sarakasi bungeniMonday May 23 2022

Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wake wa kutaka barabara jimboni mwake ijengwe kwa kiwango cha lami
 
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Barabara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa wakati wa ilani za Uchaguzi toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.

Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais miaka zaidi ya 20, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani barabara ya Tukuyu-Mbambo -Busokelo-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee...... miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.

Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
Wewe ni mwongo sana
 
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..

Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..

Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..

Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..

Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..

Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa

Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..

Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
Umeeleza vzr sana
 
Zita
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?

Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..

Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..

Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..

Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..

Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..

Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..

Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Zitaje hizo barabara,
Hatutaki sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom