Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,280
- 8,005
Hiyo tuzo ni ya Watanzania, ila anayepokea ni mmoja. Miundombinu imejengwa kwa kodi zetu mimi, yule na wewe kuanzia wakati wa Baba wa Taifa, AH Mwinyi, JKikwette na huyo Mwendazake. Mipango ya miundombinu iko kwenye vision 2025 iliyoandakiwa na Benjamin Mkapa mwaka 2000.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
weThw sunk cost Fallacy umekuwa mpinzani sana wa magu. yaani hutakagi kabisa kuukubali uhalisia,
magu ndik kajenga barabara na kuzisimamia tangu aliookuwa wazir lakini we bado unamponda na kusema hajafanya kitu
mama yako tuzo ile aliyopewa kakir kabisa kwamba aliyekuwa anastahili kupewa ile tuzo si yeye bali ni hayat magufuli lakini wewe bado unakomaa kwa kusema bora ya mama kwakuwa kaanza na njia 3 hujiskii vibaya kauli yako kukinzana na mama yako?
mtu hata kama unamchukia ni bora ukabaki kimya lakini sio kuponda hata yale mazuri aliyoyafanya
angalia sasa alichosema mama yako hapo ..... View attachment 2239914View attachment 2239915
Kama unataka kutoa sifa kwa mabarabara basi Mkapa ndiye anastahili. Mkapa ndiye alileta mapinduzi ya barabarani nchini. Aliunda Bodi ya Mfuko wa Barabara (Tanzania Road Fund) ambayo iko empowered kukusanya fedha za barabara kupitia petroli na dizeli tunayonunua kama una gari. Hiyo ndiyo fedha inayo finance ujenzi wa barabara just in case ukisikia chanzo cha ndani. Kwa hiyo JK na Magufuli wamekuta MKAPA kawatengenezea.
Pili Mkapa aliunda TANROADS sambamba na huo mfuko wa maendeleo ya barabara
Mkapa alijenga barabara a Singida- Shelui- Nzega- Mwanza na kufanya Watanzania wa Bukoba na Mwanza waache kupita Kenya na Uganda wakienda makwao