Ili upate tani, ujazo wa tanki hilo unategemea na density ya hiyo liquid. A more dense liquid itachukua volume ndogo as opposed to a less dense liquid. Ndio maana ni muhimu kujua huyu anajaza liquid gani kwenye tank.
Volume × density = weight
Given weight = 1,000 kg
Volume = 1000/density
Kutokana na post no 14, kama unajua density ya liquid na radius ya circular cylinder, waweza kukokotoa height ambayo ni kiasi gani waweza kujaza hiyo container ili ujazo uwe tani 1 excluding weight ya container.