wapi uko, tukamalizie story.Story copied
Naomba hii simulizi ya other half mkuu inbox, nitumie namba yako ya whatsapp nilipieHahaha... hapana chief. The Other Half imeshaisha kwenye group... kesho nitaweka New Episode kwenye uzi husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kumbaf saana sijui ni ili mtu kuona kwamba yuko juu...mm kwanza nikishaona mtu namna hio wala sitak fuatilia makala zake manake naona ni upuuz makala gan mtu analeta anaenda kaa miez ndio maana hata kwa group lake la whtsapp watu wana left tuuKufuatilia haya makala ni ujinga,mtu unaandika makala unaiacha miezi tunaisubria halafu unaleta excuse za kijinga,muda wote huu ulikuwa wap?au unatafuta tyu ku-ongelewa na Huyo tapeli mwenzako Ontario afanyavyo?kama unaleta mada maliza mada sio nusu nusu au kama huwez acha maana makala yako sio chakula mtu akikosa afe
Huku anachokoza mada makusudi ili mkajiunge Wasapu kwenya grupu lake, kule nasikia kuna kiingilio na ada ya kila mwezi...Yaan kumbaf saana sijui ni ili mtu kuona kwamba yuko juu...mm kwanza nikishaona mtu namna hio wala sitak fuatilia makala zake manake naona ni upuuz makala gan mtu analeta anaenda kaa miez ndio maana hata kwa group lake la whtsapp watu wana left tuu
Mtoto una mipaja yaNdio raha yake anawachota akili halafu anawaaacha kwenye flyover tazarw
Kwamba jamaa kang'ang'aniwa?makala kama hizi zikiandikwa na wazungu ata wakatoa vitabu vikauzwa kwetu mamlaka wala hawaoni kama kuna shida yoyote tatizo linakuja pale mzawa anapotumia lugha yetu adhim ya kiswahili anaonekana anaingilia mamlaka za kiusalama.
haina tofauti na basata wanapomfungia snura kisa anatikisa makalio kwenye luninga akiwa kavaa dera lililolowa na maji uku wakiacha nyimbo za kina rehanna na beyonce wakicheza na chupi tupu matiti yakiwa wazi kwenye luninga.
yani hawana tofauti na wale wanaosema ''bola unitukane tusi kwa kingereza haliumi sana kuliko kunitukana kwa kiswahili''