Nafahamu kidogo mambo ya uhasibu bado sijakubaliana, jaribu kuingia INVESTING.COM huko utaona taarifa hizo zote, maana hiyo tovuti inahusika na maswala hayo ya uchumi na uwekezaji wengu huutumia katika kujua maendeleo ya kampuni na hisa zake pamoja na kilichozalishwa, hata ukienda kwenye tovuti zao bado data zako haziko sawa - ngoja tusubirie hiyo part 2 labda utakuwa umepitia na kuliona hilo,Mkuu kuna mahali hujaelewa vizuri topic yangu ,nimeongelea gross profit ya Boeing na Airbus na siyo net profit, Kama unajua mambo ya uhasibu utakuwa unajua maana ya Gross profit na net profit.
Kuhusu mengine uliyoongea nitayafafanua part 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchango maridhawa kabisaa tena maridadi.Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!
Hujuma za Rwanda ni kama zipi kiongozi.Heb nisaidie kwenye hil maana mm huwa naona hiz ni speculations and accusations kwa kiasi kikubwa when it comes to tz vs rwanda.Mkuu usiwe biased Sana Ktk kuamini jambo, usiidharau Airbus na kuiona ni dhaifu eti hadi Russia ndo anaweza ku sabotage,siyo hivyo ndugu, hata taifa dogo usiloweza kulidhania Linaweza kufanya ujasusi dhidi ya taifa kubwa na likafanikiwa.
Rwanda imefanikiwa sana kuihujumu Tanzania yetu Najua wengi mtapinga lakini ndo ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikua nimwambie hivi pia, boeng hawatengenezu engine, kwa afanye uchambuzi wake vizuriMkuu tatizo la kuanguka kwa ndege tajwa siyo engine......
Ni kufeli kwa mfumo komputa (computer system)wa kuongozea ndege kwenye ndege husika......
Kingine mshindani mkubwa wa boeng Ni Airbus Kama ulivyo eleza.... Ila wote Airbus na Boeng(wao huwa wananunua engine) wanatumia engine za Rolls Royce ambazo zinatengenezwa UK.....
KWA HIYO KULINGANA NA NADHARIA YAKO KUWA SHIDA BOENG MAX 737 Ni engine basi Hata Airbus haziko safe............
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaeleza nikipata nafasi ila apple iliyoachwa na Jobs sivyo inavyofanya leoMkuu unaweza kufafanua kidogo products za Apple ni mbovu kivipi?
....
Mkuu Bil 10 na Bil 14 ni faida tupu baada ya kulipa wafanyakazi wote, kodi na gharama zote za kuendesha kampuni, hizo $Bil 25 ni kabla ya kutoa gharama zote nilizotaja hiyo ndo huitwa gross profit nadhani umenipataNafahamu kidogo mambo ya uhasibu bado sijakubaliana, jaribu kuingia INVESTING.COM huko utaona taarifa hizo zote, maana hiyo tovuti inahusika na maswala hayo ya uchumi na uwekezaji wengu huutumia katika kujua maendeleo ya kampuni na hisa zake pamoja na kilichozalishwa, hata ukienda kwenye tovuti zao bado data zako haziko sawa - ngoja tusubirie hiyo part 2 labda utakuwa umepitia na kuliona hilo,
Mkuu Kagame ni nyoka mwenye vichwa viwili, hajawahi kuwa rafiki mwema Kwa jirani yake yoyote yule, kabla sijakueleza lolote, jipatie home work hii.Hujuma za Rwanda ni kama zipi kiongozi.Heb nisaidie kwenye hil maana mm huwa naona hiz ni speculations and accusations kwa kiasi kikubwa when it comes to tz vs rwanda.
Wengi huwa tunaongelea hisia na mihemko zaid kuliko uhalisia
Nimepitia tena bado siko sawa sana na data zako mkuu, jaribu kuangalia hizo attachment then tuendelee japo siyo issue sana endelea na part two tuone nako kama kuna chochote cha kujifunza nakoMkuu Bil 10 na Bil 14 ni faida tupu baada ya kulipa wafanyakazi wote, kodi na gharama zote za kuendesha kampuni, hizo $Bil 25 ni kabla ya kutoa gharama zote nilizotaja hiyo ndo huitwa gross profit nadhani umenipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa namzungumzia uchambuzi wangu binafsi juu ya uwezekano mkubwa wa kampuni ya Boeing kuhujumiwa na mahasimu wao kibiashara, excuse kwamba eti kupata hitilafu engine ni kitu cha kawaida, haikubaliki Kwa sababu zifuatazo.katika kazi za engineering hitilafu ni ishu ya kawaida hasa system inapokuwa mpya, nashindwa kuelewa tz tumetoa wapi majasusi wa hali ya juu kama hii kiasi kwamba ukapata solution bila research
pia naamini hata kinachozungumzwa hapa hakuna aliewahi kukigusa.
Nitaeleza nikipata nafasi ila apple iliyoachwa na Jobs sivyo inavyofanya leo
Brother, naomba twende step kwa step kuna vitu nimenote hapa haviko sawa ama vimekuzwa ama vimewekwa kwa namna ya ushabiki wa kitaarifa/habari (sensationalized), tuanzie hapaHapa namzungumzia uchambuzi wangu binafsi juu ya uwezekano mkubwa wa kampuni ya Boeing kuhujumiwa na mahasimu wao kibiashara, excuse kwamba eti kupata hitilafu engine ni kitu cha kawaida, haikubaliki Kwa sababu zifuatazo.
1.Engine ya ndege ni lazima ifanyiwe regular check up kabla ya kui verify sokoni
2.Boeing wametengeneza zaidi ya ndege 200 aina ya 737 MAX 8 na kuzipeleka sokoni na zote zilizoruka zimeanguka Kwa tatizo hilo hilo
3.Ni nani aliruhusu na ku verify hizo ndege ziruke na kisha kuuzwa? Hakuona tatizo?
4.Kwanini tatizo la ajali linafanana?
Maswali ni mengi ,Boeing imehuhujumiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ulipita japo wikipedia kuangalia? Antonov ilikuwa chini ya USSR ya kipindi hicho ndani ya Ukraine ila baada ya kumeguka wao wameendeleza hiyo kampuni , kipande kdg nilichokiona kinasema "Antonov StC is a state-owned commercial company. Its headquarters and main industrial grounds were originally located in Novosibirsk, and were later transferred to Kiev.[3] On 12 May 2015 it was transferred from the Ministry of Economic Development and Trade to the Ukroboronprom (Ukrainian Defense Industry)." ila kwa ujuvi zaidi soma kwenye link ya wikipedia ujisomee mwenyewe huenda wewe ndo ukawa gizani mkuu https://en.wikipedia.org/wiki/AntonovKampuni zingine zinazofuatia kwa ushindani na Boeing ni ya Antonov ya Ukraine na ya Beriev ya Urusi.
Huo ni uongo wa kufa mtu
Antonov ya Ukrain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app