My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
Kampuni kubwa ya kutengeneza ndege Duniani ya Boeing yenye makao makuu yake Illinois Chicago Marekani imekumbwa na msukosuko wa ndege zake toleo jipya kabisa aina ya 737 MAX 8 kupata ajali mara tatu.
Kampuni ya Boeing imeajiri wafanyakazi zaidi ya 153,000 na gross profit yake kwa mwaka ni zaidi ya $Bil 25.
Washindani wa kampuni ya Boeing kibiashara ni Airbus yenye makao makuu yake Leiden Netherlands na imeajiri zaidi ya wafanyakazi 120,000 na gross profit ya kampuni hii ya Airbus kwa mwaka ni zaidi ya $ Bil 10.
Kampuni zingine zinazofuatia kwa ushindani na Boeing ni ya Antonov ya Ukraine na ya Beriev ya Urusi.
Kampuni zote hizo zinatengeneza ndege tofauti zikiwemo za kijeshi, za mizigo na Kwa wingi za abiria.
Ktk Dunia hii ilivyojaa ushindani wa kibiashara ni wazi kwamba kampuni zingine lazima zione wivu Kwa kazidiwa kibiashara na Boeing.
Boeing ndo kampuni pekee inayoaminika Ktk kuunda ndege imara zaidi na za kuaminika kuliko kampuni zote.
Hapa ndo ujasusi unapotumika ili kuizamisha kampuni husika iogopwe na wateja wake.
Ili taifa lolote lisonge mbele kiuchumi ni lazima ujasusi wa kiuchumi ufanye kazi yake ipasavyo.
Kenya imetumia sana ujasusi wa kiuchumi ili kupaa juu na kweli imefanikiwa ktk hilo ,China pia, India, Malaysia na US ndo inaongoza Duniani ku apply ujasusi wa kiuchumi.
Pamoja na uwezo mkubwa wa CIA lakini imeshindwa kubaini mapandikizi ya majasusi walioajiriwa Kipindi kirefu ndani ya Boeing ili kuihujumu kiuchumi, haikuwa rahisi kwa kampuni kubwa Kama Boeing kutengeneza ndege zenye hitilafu kubwa kwenye injini na kisha kuzipeleka sokoni.
Mbaya zaidi hujuma imefanywa kwenye toleo jipya kabisa la ndege ili kuwatisha wateja na Hakika wamefanikiwa.
Ndege za Antonov hazijawahi kuanguka kwa hitilafu kwenye injini mfululizo, mara nyingi zimeanguka Kwa kubeba uzito mkubwa.
Ujasusi ni Hatari sana, linafanywa tukio mnachukulia kawaida Kumbe wazee wa kazi wameshafanya yao.
NITAENDELEA PART -2
Sent using Jamii Forums mobile app