Ujasusi: Hatari Kuliko Vita Uwanjani?

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
978
Reaction score
2,367
Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali

Ujasusi ni hatari zaidi ya Mwanajeshi kuwa katika uwanja wa vita akikumbana na risasi na mabomu kwa sababu Jasusi anaingia kutafuta siri katika nchi aliyokusudia huku akiwa kaficha utambulisho wake

Jasusi hutembea mwenyewe ikitokea kashtukiwa utambulisho wake akiwa katika nchi nyingine akikamatwa huwa anauawa kikatili sana ndio maana nasema hakuna kazi ngumu kama ujasusi

Jasusi wa Marekani anajulikana kama CIA, Jasusi wa Uingereza hujulikana kama M16, Jasusi wa Israel hujuikana kama MOSSAD
Jasusi wa Urusi hujulikana kama SVR
Jasusi wa Iran hujulikana kama MOIS na hata kwa Tanzania hujulikana kama TISS
 
Uzuri wanaandaliwa kabla ya kuingia kazini, na mengine inabaki mtu mwenyewe kujiongeza na kumwomba Mungu amsaidie kwenye majukumu yake ya kila siku. Ujajusi upo kibiblia, kwahiyo ni kazi inayotambulika mbele za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…