snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,710
- 23,646
UKIJIFUNZA KWA WALIOSHINDWA LAZIMA USHINDWE mdogo wangu!
wewe kwa ulivyo hata ukiuza kinyesi cha ng'ombe wlahi utatengeneza hela mpka wakushangae!
NAMAANISHA!
UZA HATA KINYESI CHA PAKA!
una cho kile wafanyabishara wengi hawana
unacho kile wenye mitaji wengi hawana
unacho kile wanawake wengi hawana
HEBU KUNYWA DAWA !
najua utafika hapo napotamani upaone ndani yako
HALAFU UTASHANGAA!