Ujasiria Mali Na Ujasiria Mwili Vinavoenda Bega Kwa Bega!( Mume wa Mtu Part 2!)

Usomi mwigine ndo hivo unastaafu teller au back office pale 30 yrs of CHEAP LABOR! Mimi hapana aiseee! I AM TAKING THE SHORTCUT. I aint sayin you should too but sometimes ITS NOT WORTH IT.

hiyo ni well known...
 
Mxiuuuuuuuuuuuu! MIMI SIO MASINI WA FIKIRA KAMA WEWE! Wewe unayajua maisha yangu kabla sapata ajali au unapayuka tu???????????? WEWE KAMA UMEPANGIA KUFA MASIKINI NI WEWE TU!TENA UKAE MBALI NA MIMI USIJE NIAMBUK UMASIKINI WAKO WA FIKRAAAA!!!!!!!!!

Thinking you are a man and mawazo ya kimaskini yamekukaa hivi MAKES ME WANNA PUKE!!!!!!!!!

Ha ha ha haaaaaa nilikuwa sijaiona hii! Damn truth siss!
 
yani lara akili zako bwana zinakutosha ww mwenyewe mume wako ana kazi kweli
 
Oh please. That is a lack of ambition. Eti because its a man's world nivue chupi kwa kila obstacle in the path of my success. Oh I will be damned!!

Kama 50% ya wanawake wote wa kitanzania
Wangekuwa hivyo. Basi rushwa ya ngono makazini ingepungua kwa asilimia kubwa.
 
Kama 50% ya wanawake wote wa kitanzania
Wangekuwa hivyo. Basi rushwa ya ngono makazini ingepungua kwa asilimia kubwa.

Kuongea jf hio haimaanishi ndivo uishivo! Easier said than done
 
Unafikiri nabisha bas dadangu!
Si wote wanaofanikiwa kwa kumshirikisha Mungu,
wengine wanafanikiwa kwanza kisha ndo wanakwenda kuweka heshima kanisani!
Just Imagine hawa mapapaa ambao baba Riz moko ana majina yao ila anayaonea haya walivyotoka kimaisha,
Hawana huruma hata na binadamu wenzao,wakishuhudia kila siku wenzao wakipasuliwa matumbo baada ya mambo kubumbuluka! So mafanikio ya haya dudes unataka kuniambia walimshirikisha Mkuu? Ni Mungu namzungumzia....

mkuu hao mapapaa kama kweli utajiri walio nao si wa haki wana shida kubwa kuliko unavyodhani! wewe unadhani biblia ilikosea kusema heri vichache ukiwa na Mungu kuliko vingi bila Mungu! tafakari sana anachosema Mdau
 
Why to be pessimist, be positive wangu, kuna challenge nyingi tu ktk vitu vingi moja wapo kujisimamia toka ktk confort zone, punguza sauti za ushauri wa kushindwa mpaka ziwe za chini sana hakuna raha kama kujisimamia, pls songa
 
Blah! blah! Patience is a weapon niende CLUB KWA MKONGOJO!!!!!!!!! ? LOL! Mi natufua hela ili nijipe maraha y duni hii! Sasa nikiipata uzeeni takuwa TOO LATE! Ndo maana naikimbiza !

Wachaga wameharibika sana Aisee
 
Back
Top Bottom