sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
As long as umezaliwa mwanamke in a man's world
huna jinsi
hata maofisini ajira zinalindwa hivyo hivyo kwa mwili pia
promotion na safari zinatafutwa kwa mwili pia...
kazi kwako...
Mhh The Boss.. Tatizo kubwa ni pale unapokuwa unajaribu kutatua tatizo huku kichwani mwako ukijua kuna solution ambayo utaitumia in case plan A imekwama.. maana yake huwezi kuupasua au kuushughulisha ubongo wako kwa kuufikirisha to the maximum.. Na hili ndilo linalowakumba baadhi ya wanawake.. Wapo ambao wanakomaa mpaka mwisho but sadly kuna ambao hawawezi kukomaa..
Last edited by a moderator: