Ujasiria Mali Na Ujasiria Mwili Vinavoenda Bega Kwa Bega!( Mume wa Mtu Part 2!)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,662
2,000
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Namshukuru Mungu kwa kudra zake mpaka leo nakuja kuandika hapa. Sasa bwana bado nakomaa na jiji! Tutabanana hapa hapa! Huku na huku mizuka ya kufanya biashara zangu wenyewe imenivaa mzima mzima! Mim experience ya biashara ninayo sanaaa. Kwanza bi mkubwa wangu ni mfanya biashara mda mrefu sema sio risk taker kabisaa! Biashara zake sio za kutaka kutajirika bali asiumbuke tu mjini hapa. afu mtu wa kusita sita so yupo kuajiriwa zaidi na ansisitiza niache upuuzi nitafute kazi haraka. Ole wangu. Ila pamoja na hayo nimefanya kazi za marketing kwa makampuni kibao na kama ujuavyo marketing ndo unamtajirisha mtu. Basi tu kwa kufollow muongozo wa Kottler nilikuwaga phenomenon seller, awards kibao na outstanding performance hadi watu wakahisi nalogaaa! Ila sasa kufanya changu ndo kimbembe pichu inanibanaje!!!!!!!! Chezea kuzika hela!

Nikaonaaa hata ale ya masoko ya multinational niachane nayo, nichukue training ya huku kijiweni kwa maza zangu na mashosti wanaoendesa business zao wenyewe. Nikwaambia kabisa mimi nina tupesa hutu nataka nijaribu riziki upande wenu huu. Wakaniambia wewe msomi bwana huku hutokuweza! We ushazoea AC, mambo ya huku tunyaweza sie tu, utakufa na pressure na wewe bado mdogo saana. Ikabidi niwapigie magoti (chezea kurudi kijijini Marangu) na kulia lia coz naumwa siajiriki karibuni manake siku 4 naumwa 3 mzima nani ataniajiri. Afu bili za hospitali, na hata sijui ntapona lini Nisaidieni mwanenu. Ndo maana nimekuja huku sikwenda kwa ma Md na Ceo maji ya shingo. Mkinitupa na nyie ndo nimekwishaaa! Na pesa ninayo japo si nyingi sana kuanzia sio mbaya!

Waniambia LIVE! Biahsara sio lelemama! Mtaji unagomba vibaya mnooo! Ukilegea tu umepoteaaaa! Inawalazimi mda hadi mda afanye vitu they are not proud of! Coz walikimbia uamnde, wengine wazazi uwo mdogo hawakusoma na jiji wanalipenda kwao failure in business is not an option! Not once or twice wamefanya the dispeakable wala sio ndo wmefika mwisho, ikiwalzimu watafanya tena na tena mpaka kieleweke! Mmmmmmmmmmmmh! Mh!

Aunt Liz ana bonge ya saluni afu mke wa mtu "Mimi Liz niliapa baba C mzazi mwenzangu wa zamani sintokaa nimsalimie wala akifa sito mzika, lakini saluni hii ilifilisika hata kodi sikuwa nayo, walivunja wakabeba vifaa vyoteeee, mume wangu nae mambo yake yalikua yamekwamaaa vibayaa, watoto 3 wako genesis nadaiwa million karibia 15 ada,fremu hii million 4 nadaiwa kodi, nimetoka kujifungua sina hata mwaka, kidogo nidate nikaenda kwa mhshimiwa baba mtoto wangu, na yule mtoto niliezaa nae, nikampiga magoti na kumwambia mwanangu apige magoti japo nilijiapisha mambo mengi nikajikuta tu i beg for money machozi yaanimwagika. Na alivo firauni akadai pesa sio ishu atanipa zote za ada na saluni kuifufua ila kanimisi sanaa anataka mchezo wa kukumbushia! LoooooooH! Jinsi nilivkuwa na shida mpaka kwenye makalio nikatoa mchezo ndo kusurvive mjini. Na baad ya kujifosi first time, nikikwama simu tu tunafanya yetu nachukua mtaji. UNAWEZA KUFANYA HAYA? KAMAHUWEZI CHUKUA BAHASHA UANZE KUZUNGUKA MAOISINI UKISAKA KAZI UPESI SANAAA!"

Dada J, dada J mke wa mtu, n nasimamia maduka ya mumewe karakoo, mumewe ananda china. "Mimi usione niko hivi, baba B hana mtaji wa kufunga makontena yae mwenyewe huko China, sasa yule mama Family friend wetu T mwenye sura kama ndimuuu, sio family friend wala nini, anatembea na mume wangu na mie najuaaa! Sasa yule ndo anafungaga makontena yake baba B anajazi mizigo buree huku anamkaza ki silencer, biashara zinanenda! Nilivojua nilinuna sanaa lakini turudi maisha ya chumba kimoja? Nimekazaa tu roho nikamhurumia mume wangu anajitoa mhanga kwa familia kumkaza mtuhumpendi inataka moyo!!!!!! Afu mimi naekula jasho lake ninune nune na kumstress itakuwa selfish sanaa Saivi na imagine tu hio scenario haipo. Huyo dada anataka wazae saivi, baba B akaja kuniambia nikamwambia poa tu, ila nikampigia mama Kamachumu Kagera akaniambia iko dawa ya kienyeji namtilia kwenye juice mara moja kwa mwezi HAZAI ng'ooooooo hata aende wapi! Kazi yao kwenda china kufanyiwa check up za kitaalamu! Nyoooooo! Hazai mtu hapa.! Ndo maisha na usomi wako unataka kuishi????? Wewe mdogo wangu nenda katafute kazi, na uombe upewe mume mfanya kazi kama ndo bank ama wapi ila ya huku kariakoo tuachie dada zako wenye roho za mchongoma!"

Mama J, huyu mama mtu mzima tu kama late 40's hivi mke wa bosi. " Mimi nachoweza kukwambia kwenye business 2 + 2 sio = 4 kwenye biashara! Inaweza kuwa = 1,3,5 hata 8 ikibidi! Mimi biashara hii ya kuku 4000 hawa usiione hivi. Niliiba hela za mume wangu million 15 bank kwenye account ya watoto ya ada wakati naanza nikaweka kuku, kujenga mabanda na vijana. Maafuriko yale walikufa na kusombwa na maji kuku wote 3000. Tena wamebakia wiki niwauze. Pichu ilinibanaaa! Hela ya watu nitarudishaje? Ada mada wake ndo umefka! Mhhhhhhh! Mume wangu alivojua alinifukuza nikarudi kwetu hadi aliposhauriwa umri wetu ushanda sanaa pesa kitu cha kuita anisamehee asizeeke mwenyewe ndo kunirudisha na kunipa mtaji mwengine ndo mpaka leo nafuga hivi hapa!Ningekuwa na preesure nisingsalimika mda ule.! Sasa wewe mdogo wangu unaniambia una vihela vyako, hamad leo yakikukuta yale, na unaoumwa si utavua nguo wewe? Katafute kazi mdogo wangu, ungekuwa hujasoma ningekwambia ukomae coz huna jinsi ila wewe mimi nakuaminia utapona urudi kwenye fani ulizosomea.

JE NITAFUTE KAZI KAMA NISHAURIWAVYO AU NIKOMAE NA HARAKATI ZA KUJASIRIA MALI???????????

Ngoja mgonjwa akapumzke na kumeza dawa! Tutandelea Part 3 siku ingine shuhuda bado ziko nyingi sana.
 
cataliya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
428
500
Maisha ni misukosuko
Hakuna mteremko
Ila ukimshirikisha Mungu atatia wepesi!!

Mie ushauri wangu komaa na biashara ipo siku utainuka!!
Kwenye kuhangaika utakutana na watu na watakushauri
Mpaka utakutana na right business!!!

Wewe una vision ipi?
Life is all about choices!!!
All the best bidada!!!
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Its Lara again...Ingia mzigoni bi dada...kazi ni stress tu,wakurugegenzi kwenye ofisi za umma wanakomaa utadhani wana hisa kwenye ofisi hizo...piga ujasiriamwili sor mali bi dada utoke faster!
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Maisha ni misukosuko
Hakuna mteremko
Ila ukimshirikisha Mungu atatia wepesi!!

Mie ushauri wangu komaa na biashara ipo siku utainuka!!
Kwenye kuhangaika utakutana na watu na watakushauri
Mpaka utakutana na right business!!!

Wewe una vision ipi?
Life is all about choices!!!
All the best bidada!!!

Hee mwenzetu, kuna mambo ya kumshirikisha Mungu na kuna mengine ya kutake risk mwenyewe...
Ikiwa watu wa Mungu wantumia vitabu vitakatifu kupiga hawa pimbi wanaosubiri kutoka siku ya mwisho kwanini mtu asitumie chake bila kuathiri mahusiano yake na Mungu...Pole lakini!
 
cataliya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
428
500
Rome was not built in one day!!
Patience is a weapon!!!
Chase the vision you have!!!!!!

Ila self employment is the best ever!!!!!
With vision you will achieve what you once dreamt about!!!

Focus, is another weapon!!
Dont allow any one to derail u

Determination and will power,
Be determined bidada!!

Desire will drive you to reach where you want to b

Dont allow negative thoughts from people!!!

Keep in mind,
What people dont know they call names
What they know, they destroy!!!

Also somebody's else life path isnt yours!!
Also it is self torture to compare yourself to others!!!!
Just do what is right, you will be rewarded when you are not aware!!!

Wema hauzi!!!!!!!!!!!!
Siku njema!
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,807
2,000
lara 1 komaa na biashara kwani ujasiriamali siku hizi ndio mpango mzima, ipo siku utatoka tu.....
 
Last edited by a moderator:

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Namshukuru Mungu kwa kudra zake mpaka leo nakuja kuandika hapa. Sasa bwana bado nakomaa na jiji! Tutabanana hapa hapa! Huku na huku mizuka ya kufanya biashara zangu wenyewe imenivaa mzima mzima! Mim experience ya biashara ninayo sanaaa. Kwanza bi mkubwa wangu ni mfanya biashara mda mrefu sema sio risk taker kabisaa! Biashara zake sio za kutaka kutajirika bali asiumbuke tu mjini hapa. afu mtu wa kusita sita so yupo kuajiriwa zaidi na ansisitiza niache upuuzi nitafute kazi haraka. Ole wangu. Ila pamoja na hayo nimefanya kazi za marketing kwa makampuni kibao na kama ujuavyo marketing ndo unamtajirisha mtu. Basi tu kwa kufollow muongozo wa Kottler nilikuwaga phenomenon seller, awards kibao na outstanding performance hadi watu wakahisi nalogaaa! Ila sasa kufanya changu ndo kimbembe pichu inanibanaje!!!!!!!! Chezea kuzika hela!

Nikaonaaa hata ale ya masoko ya multinational niachane nayo, nichukue training ya huku kijiweni kwa maza zangu na mashosti wanaoendesa business zao wenyewe. Nikwaambia kabisa mimi nina tupesa hutu nataka nijaribu riziki upande wenu huu. Wakaniambia wewe msomi bwana huku hutokuweza! We ushazoea AC, mambo ya huku tunyaweza sie tu, utakufa na pressure na wewe bado mdogo saana. Ikabidi niwapigie magoti (chezea kurudi kijijini Marangu) na kulia lia coz naumwa siajiriki karibuni manake siku 4 naumwa 3 mzima nani ataniajiri. Afu bili za hospitali, na hata sijui ntapona lini Nisaidieni mwanenu. Ndo maana nimekuja huku sikwenda kwa ma Md na Ceo maji ya shingo. Mkinitupa na nyie ndo nimekwishaaa! Na pesa ninayo japo si nyingi sana kuanzia sio mbaya!

Waniambia LIVE! Biahsara sio lelemama! Mtaji unagomba vibaya mnooo! Ukilegea tu umepoteaaaa! Inawalazimi mda hadi mda afanye vitu they are not proud of! Coz walikimbia uamnde, wengine wazazi uwo mdogo hawakusoma na jiji wanalipenda kwao failure in business is not an option! Not once or twice wamefanya the dispeakable wala sio ndo wmefika mwisho, ikiwalzimu watafanya tena na tena mpaka kieleweke! Mmmmmmmmmmmmh! Mh!

Aunt Liz ana bonge ya saluni afu mke wa mtu "Mimi Liz niliapa baba C mzazi mwenzangu wa zamani sintokaa nimsalimie wala akifa sito mzika, lakini saluni hii ilifilisika hata kodi sikuwa nayo, walivunja wakabeba vifaa vyoteeee, mume wangu nae mambo yake yalikua yamekwamaaa vibayaa, watoto 3 wako genesis nadaiwa million karibia 15 ada,fremu hii million 4 nadaiwa kodi, nimetoka kujifungua sina hata mwaka, kidogo nidate nikaenda kwa mhshimiwa baba mtoto wangu, na yule mtoto niliezaa nae, nikampiga magoti na kumwambia mwanangu apige magoti japo nilijiapisha mambo mengi nikajikuta tu i beg for money machozi yaanimwagika. Na alivo firauni akadai pesa sio ishu atanipa zote za ada na saluni kuifufua ila kanimisi sanaa anataka mchezo wa kukumbushia! LoooooooH! Jinsi nilivkuwa na shida mpaka kwenye makalio nikatoa mchezo ndo kusurvive mjini. Na baad ya kujifosi first time, nikikwama simu tu tunafanya yetu nachukua mtaji. UNAWEZA KUFANYA HAYA? KAMAHUWEZI CHUKUA BAHASHA UANZE KUZUNGUKA MAOISINI UKISAKA KAZI UPESI SANAAA!"

Dada J, dada J mke wa mtu, n nasimamia maduka ya mumewe karakoo, mumewe ananda china. "Mimi usione niko hivi, baba B hana mtaji wa kufunga makontena yae mwenyewe huko China, sasa yule mama Family friend wetu T mwenye sura kama ndimuuu, sio family friend wala nini, anatembea na mume wangu na mie najuaaa! Sasa yule ndo anafungaga makontena yake baba B anajazi mizigo buree huku anamkaza ki silencer, biashara zinanenda! Nilivojua nilinuna sanaa lakini turudi maisha ya chumba kimoja? Nimekazaa tu roho nikamhurumia mume wangu anajitoa mhanga kwa familia kumkaza mtuhumpendi inataka moyo!!!!!! Afu mimi naekula jasho lake ninune nune na kumstress itakuwa selfish sanaa Saivi na imagine tu hio scenario haipo. Huyo dada anataka wazae saivi, baba B akaja kuniambia nikamwambia poa tu, ila nikampigia mama Kamachumu Kagera akaniambia iko dawa ya kienyeji namtilia kwenye juice mara moja kwa mwezi HAZAI ng'ooooooo hata aende wapi! Kazi yao kwenda china kufanyiwa check up za kitaalamu! Nyoooooo! Hazai mtu hapa.! Ndo maisha na usomi wako unataka kuishi????? Wewe mdogo wangu nenda katafute kazi, na uombe upewe mume mfanya kazi kama ndo bank ama wapi ila ya huku kariakoo tuachie dada zako wenye roho za mchongoma!"

Mama J, huyu mama mtu mzima tu kama late 40's hivi mke wa bosi. " Mimi nachoweza kukwambia kwenye business 2 + 2 sio = 4 kwenye biashara! Inaweza kuwa = 1,3,5 hata 8 ikibidi! Mimi biashara hii ya kuku 4000 hawa usiione hivi. Niliiba hela za mume wangu million 15 bank kwenye account ya watoto ya ada wakati naanza nikaweka kuku, kujenga mabanda na vijana. Maafuriko yale walikufa na kusombwa na maji kuku wote 3000. Tena wamebakia wiki niwauze. Pichu ilinibanaaa! Hela ya watu nitarudishaje? Ada mada wake ndo umefka! Mhhhhhhh! Mume wangu alivojua alinifukuza nikarudi kwetu hadi aliposhauriwa umri wetu ushanda sanaa pesa kitu cha kuita anisamehee asizeeke mwenyewe ndo kunirudisha na kunipa mtaji mwengine ndo mpaka leo nafuga hivi hapa!Ningekuwa na preesure nisingsalimika mda ule.! Sasa wewe mdogo wangu unaniambia una vihela vyako, hamad leo yakikukuta yale, na unaoumwa si utavua nguo wewe? Katafute kazi mdogo wangu, ungekuwa hujasoma ningekwambia ukomae coz huna jinsi ila wewe mimi nakuaminia utapona urudi kwenye fani ulizosomea.

JE NITAFUTE KAZI KAMA NISHAURIWAVYO AU NIKOMAE NA HARAKATI ZA KUJASIRIA MALI???????????

Ngoja mgonjwa akapumzke na kumeza dawa! Tutandelea Part 3 siku ingine shuhuda bado ziko nyingi sana.
kameze dawa upone!
 
MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,290

masikini kiswahili chetu na uandishi fasaha wa sarufi
 
cataliya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
428
500
Hee mwenzetu, kuna mambo ya kumshirikisha Mungu na kuna mengine ya kutake risk mwenyewe...
Ikiwa watu wa Mungu wantumia vitabu vitakatifu kupiga hawa pimbi wanaosubiri kutoka siku ya mwisho kwanini mtu asitumie chake bila kuathiri mahusiano yake na Mungu...Pole lakini!

Amshirikishe Mungu kwa analo taka kufanya!!!
Hii hupunguza losses pia huondoa mikosi ktk biashara!!
Huwez fanya lolote pasipo Mungu!!!

Sijamwambia akae aombe tuu!!
Pamoja na ku take risks, amweke Mungu bega kwa bega!!!
Kuna vingine huhitaji divine intervention!!!

Am sorry, ila u shud have a big picture kaka!!!
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,948
2,000
Lara bwana, ila huwa una point sometimes....! Yan upo kibishi bishi.
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Rome was not built in one day!!
Patience is a weapon!!!
Chase the vision you have!!!!!!

Ila self employment is the best ever!!!!!
With vision you will achieve what you once dreamt about!!!

Focus, is another weapon!!
Dont allow any one to derail u

Determination and will power,
Be determined bidada!!

Desire will drive you to reach where you want to b

Dont allow negative thoughts from people!!!

Keep in mind,
What people dont know they call names
What they know, they destroy!!!

Also somebody's else life path isnt yours!!
Also it is self torture to compare yourself to others!!!!
Just do what is right, you will be rewarded when you are not aware!!!

Wema hauzi!!!!!!!!!!!!
Siku njema!

Mama mchungaji tusifu Yesu Kristu...
Back to maada hizi habari za Rome haikusimama kwa siku moja ni yale yale ya kina madiba kupoteza maisha kwa miaka almost twenty seven na family ikisambaratika et kuja kupata heshima baada ya ku r.i.p loh....

Vyote unavyotiririka navyo ni compliment ila tukirudi kwenye uhalisia wa maisha ni kwamba hatuhitaji kusoma sana story za waliofanikiwa ili nasi tutoke,sometimes ni busara kudesa kwa walioanguka kisha tujue walitoka vipi...
 
Legacy you leave behind matters!!!!
Forgiveness nayo ni karama!!!!
Kama wewe huwez polee!!!
Kusamehe nayo ni njia ya kubarikiwa!!!

Pole ila siri ya mafanikio ni kumshirikisha Mungu kabla hujafanya lolote!!!
Tatizo ukishakwama ndo tunamkumbuka!!!

It is either light or darkness in this world!!!!!!!!!
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Amshirikishe Mungu kwa analo taka kufanya!!!
Hii hupunguza losses pia huondoa mikosi ktk biashara!!
Huwez fanya lolote pasipo Mungu!!!

Sijamwambia akae aombe tuu!!
Pamoja na ku take risks, amweke Mungu bega kwa bega!!!
Kuna vingine huhitaji divine intervention!!!

Am sorry, ila u shud have a big picture kaka!!!

Unafikiri nabisha bas dadangu!
Si wote wanaofanikiwa kwa kumshirikisha Mungu,
wengine wanafanikiwa kwanza kisha ndo wanakwenda kuweka heshima kanisani!
Just Imagine hawa mapapaa ambao baba Riz moko ana majina yao ila anayaonea haya walivyotoka kimaisha,
Hawana huruma hata na binadamu wenzao,wakishuhudia kila siku wenzao wakipasuliwa matumbo baada ya mambo kubumbuluka! So mafanikio ya haya dudes unataka kuniambia walimshirikisha Mkuu? Ni Mungu namzungumzia....
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
15,024
2,000
As long as umezaliwa mwanamke in a man's world

huna jinsi

hata maofisini ajira zinalindwa hivyo hivyo kwa mwili pia

promotion na safari zinatafutwa kwa mwili pia...

kazi kwako...
Oh please. That is a lack of ambition. Eti because its a man's world nivue chupi kwa kila obstacle in the path of my success. Oh I will be damned!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,662
2,000
Rome was not built in one day!!
Patience is a weapon!!!
Chase the vision you have!!!!!!

Ila self employment is the best ever!!!!!
With vision you will achieve what you once dreamt about!!!

Focus, is another weapon!!
Dont allow any one to derail u

Determination and will power,
Be determined bidada!!

Desire will drive you to reach where you want to b

Dont allow negative thoughts from people!!!

Keep in mind,
What people dont know they call names
What they know, they destroy!!!

Also somebody's else life path isnt yours!!
Also it is self torture to compare yourself to others!!!!
Just do what is right, you will be rewarded when you are not aware!!!

Wema hauzi!!!!!!!!!!!!
Siku njema!

Blah! blah! Patience is a weapon niende CLUB KWA MKONGOJO!!!!!!!!! ? LOL! Mi natufua hela ili nijipe maraha y duni hii! Sasa nikiipata uzeeni takuwa TOO LATE! Ndo maana naikimbiza !
 
Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
mhhhhh, we bidada using'ang'anie kuishi maisha yasiyokua yako at all cost. Sijui kwa nini umeendekeza pesa kiasi hiki. Yaani unaamini kabisa maisha ya kawaida sio yako ila maisha yako wewe ni ya kitajiri mpaka kufa kwako. Unataka kuishi kama millionare wakati ww huna hadhi hiyo.

Even if you get the status you want lara 1 , You won't be able to maintain it for many years. You will fall to the bottom and it will be worse than where you are now. Give up. Get employed, and be thankful for what you will get.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom