Inaonyesha mkuu wee umezaliwa kijijini sanaHaya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.
Hapo ni kule kwao ugweno maeneo kifulaHapo itakuwa ni mwanza mshana.. Nambie kama Nimekosa
Umesahau sindano na Bolibo...sasa balaa huku visiwani kuna bolibo aina kadhaa...bolibo maziwa...bolibo siagi...dah hatari sana!!!Ninakumbuka vilinge yako mvirngo hivi, ng'ongo ni matamu ya rojo unavyonza hivi, maembe papai kweli yana aroma ya papai, dodo usiseme.
Hapo kwenye boribo siagi sasa. Mmhuuu.Umesahau sindano na Bolibo...sasa balaa huku visiwani kuna bolibo aina kadhaa...bolibo maziwa...bolibo siagi...dah hatari sana!!!
Ninakumbuka vilinge yako mvirngo hivi, ng'ongo ni matamu ya rojo unavyonza hivi, maembe papai kweli yana aroma ya papai, dodo usiseme.
Missing home village...maembe matamu mpaka kisogoni
ninaona vilinge na kochi hapo mkuu
Kama haya ?View attachment 469784
[emoji40] [emoji40] [emoji40] kuna sehemu siku hizi hazitajwitajwi
Hapo itakuwa ni mwanza mshana.. Nambie kama Nimekosa